Habari za hivi Punde

RC-SIMIYU AMEWATAKA WAKUU WA WILAYA WAPYA KUKOMESHA MAHAKAMA ZA KIMILA

RC-SIMIYU AMEWATAKA WAKUU WA WILAYA  WAPYA KUKOMESHA MAHAKAMA ZA KIMILA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka amewataka wakuu wa wilaya wapya kuhakikisha wanakomesha  mahakama za kimila maarufu kama  Ndagashida  ambazo zimekuwa zikitoa adhabu kwa watumishi wa umma  wasio na hatia hali inayopelekea kutokea kwa  mauaji , vilema vya maisha sambamba na kuwafirisi mali zao.   Akitoa wito huo jana wakati wa kuapishwa  wakuu hao  ,Mtaka alieleza kuwa  ni muhimu kwa wakuu hao kuzingatia suala hilo  katika wilaya...

SHINYANGA BADO YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA MADAWATI 9,545

SHINYANGA BADO YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA MADAWATI 9,545
WAKATI  JANA ni mwisho wa ukamilishaji wa madawati mkoa wa Shinyanga umeshindwa kukamilisha agizo la Rais John Magufuli la kutatua tatizo la uhaba wa Madawati kwa shule za msingi na sekondari ambapo bado inakabiliwa na upungufu wa madawati 9,545 Akitoa takwimu hizo juzi Ofisa Elimu taaluma mkoa James Malima alisema  katika shule za msingi kuna upungufu wa madawati 7,310, sekondari 2,235 na kufanya jumla kuu kuwa ni 9,545 huku utengenezaji wa madawati hayo kwenye...

MWENYEKITI MPYA WA TIMU YA STEND UNITED ATAKA USHIRIKIANO,ATAJA WACHEZAJI WALIOACHWA KUWA WAKO HURU

MWENYEKITI MPYA WA TIMU YA STEND UNITED ATAKA USHIRIKIANO,ATAJA WACHEZAJI WALIOACHWA KUWA WAKO HURU
MWENYEKITI wa  timu ya Stend United iliyopo mkoani Shinyanga  Ellyson Maeja   ametaka ushirikiano   wa kuinyanyua timu  nakuondoa tofauti zilizokuwepo kipindi cha nyuma   huku akitangaza wachezaji watakao achwa msimu ujao.  Wachezaji walioachwa na wako huru ni Haruna Chanongo,Nassoro Choro,Rajab Zahir,Hassan Self, Philipo Metusela huku waliomaliza mkataba wao ni  Salum Kamana  na Elius Maturi. var obj0=document.getElementById("adsmiddle17190567593548817351"); var...

MIKAKATI YA KUPINGA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI WILAYANI SHINYANGA

MIKAKATI YA KUPINGA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI WILAYANI SHINYANGA
MKUU wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro  ameeleza mikakati dhidi ya kupinga mimba  na ndoa za utotoni  ili kufanikisha   kuwakamata waliosababisha ni wasichana  waliobainika kuwa na mimba kukataa  kusema ukweli  watalazimika  kuwekwa ndani. Mkuu wa wilaya huyo alisema  hayo  jana alipokuwa mgeni rasmi  mbele ya wadau wa maendeleo katika mradi wa kupinga mimba na ndoa za utotoni kupitia shirika la Agape  ikiwa utekelezaji...

UWT WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU.

UWT WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU.
Katibu wa UWT wilaya ya Shinyanga vijijini akitoa  akijitolea kuchangia damu. Wakwanza  kushoto ni  mwenyekiti wa UWT  Hellen David akiwa na wajumbe wa UWT wakijitolea uchangiaji damu  lengo kuokoa vifo vya mama na mtoto vitokanavyo na ukosefu wa damu. Wakipewa maelekezo na kufarijiwa. Wajumbe wa UWT wakijiandaa kwa uchangiaji damu  hapa wanajiandikisha tayari kwa kupata vipimo. Katibu wa UWT  Grace Haule akiendelea  kuchangia damu...

WATU 40,364 WAMEPIMWA,1,871 WAMEBAINIKA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU

WATU 40,364 WAMEPIMWA,1,871 WAMEBAINIKA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU
Kati ya  watu 40,364 waliojitokeza kupima  afya kwa hiari katika halmashauri Msalala  mkoani Shinyanga   1,871 wamekutwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi . Mratibu wa ukimwi wa halmashauri  hiyo Jackson Faustine  anasema kuwa  watu hao walijitokeza kupima afya kati ya Januari hadi Novemba  2015. var obj0=document.getElementById("adsmiddle118900559371687868"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle218900559371687868"); var s=obj1.innerHTML; var...

DC SHINYANGA ATOA AGIZO MHANDISI WA MANISPAA KUWEKWA RUMANDE

DC SHINYANGA ATOA AGIZO MHANDISI WA MANISPAA KUWEKWA RUMANDE
MKUU wa  wilaya  ya  Shinyanga  Josephine  Matiro  ametoa  amri  ya kumuweka  ndani  mhandisi  wa ujenzi wa manispaa ya Shinyanga  Saimon  Ngagani ,  kutokana  na kukaidi  agizo lake  la kufanya  maandalizi  mapema  ya  shughuli  za  kuchimbia  mapipa  ya  kuweka  taka  nyepesi  katika  maeneo  mbalimbali  ya manispaa  hiyo. ...

WATOTO KWENYE KITUO CHA BUHANGIJA WAPATA MSAADA.

WATOTO KWENYE KITUO CHA  BUHANGIJA   WAPATA MSAADA.
Watoto wenye ulemavu mbalimbali katika kituo cha Buhangija manispaa ya Shinyanga wakisubiri kupewa msaada wa nguo na vyakula  siku ya pasaka. Watoto wakiendelea kusubiri msaada. Familia ya  Mwalongo ikijitambulisha tayari kwa kutoa msaada siku ya Pasaka Mbuzi aliyetolewa na familia ya Anna na Josephat Mwalongo siku ya Pasaka katika kituo cha Buhangija. var obj0=document.getElementById("adsmiddle14620384079231700237"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle24620384079231700237"); var...

MFUMODUME WAWA KIKWAZO KWA WANAWAKE KUKUZA UCHUMI

MFUMODUME WAWA KIKWAZO KWA WANAWAKE KUKUZA UCHUMI
WANAWAKE  nchini wameelzwa kuwa mfumo dume ndio unaowakwamisha kuweza kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa kukosa dhamana   Licha ya kuwa waaminifu zaidi kuliko wanaume wamekuwa kwakipata vikwazo mbalimbali vyakushindwa kuendesha biashara`zao na pindi  wanapohitajika kutoa dhamana kwaajili ya mikopo wengi wao hushindwa sababu ya  mfumodume var obj0=document.getElementById("adsmiddle14149279085469906792"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle24149279085469906792"); var...

KUKOSEKANA KWA MASHINE ZA CD4 ZAWATESA WENYE MAAMBUKIZI YA VVU.

KUKOSEKANA KWA MASHINE ZA CD4 ZAWATESA WENYE MAAMBUKIZI YA VVU.
VITUO vya kutolea huduma kwa watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi mkoani Shinyanga vinakabiliwa na changamoto ya upungufu wa mashine za  kupimia CD4 hali inayosababisha hofu kwa watumiaji wa dawa za kufubaza makali   (ARV). var obj0=document.getElementById("adsmiddle18740829233657820153"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle28740829233657820153"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

MENO YA TEMBO YAKAMATWA HUKU WATU TISA WAKISHIKILIWA NA JESHI LA POLISI

MENO YA TEMBO YAKAMATWA HUKU WATU TISA WAKISHIKILIWA NA JESHI LA POLISI
WATU wadhanwao ni  majangili katika pori la akiba Maswa waliofanya tukio la  kutunguahelkopita ya kampuni ya Mwimba Holding Limited na kusababisha kifo chaRubani,  Rodgers Charvis  raia wa Uingeleza ambaye alikuwaakitekelezamajikumu yake jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamatawahusika 9 pamoja na bunduki 29  ikiwemo  meno ya tembo matatu.Akiongea  jana na waandishi wa habari mkoani Simiyu, Kamanda wa polisimkoani hapa Lazaro Mambosasa alisema kuwa jeshi...

WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MAHAKAMA ZA MWANZO

WANANCHI KUCHANGIA  UJENZI WA MAHAKAMA ZA MWANZO
 WATUMISHI  wa idara ya mahakama mkoani Shinyanga wametolewa hofu ya kuhakikisha wananchi  wanashirikishwa ili kuweza  kuboresha miundombinu ya majengo  kama wafanyavyo kwenye sekta zingine. Hayo yamesemwa   na mkuu wa mkoa wa Shinyanga  Ally Rufunga   kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyka kwenye viwanja vya mahaka mkazi wilaya nakuhusisha wadau kutoka maeneo mbalimbali wakiwemo viongozi wa madhehebu ya dini. var...

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA ATAKA WANANCHI KUFAHAMU TARATIBU NA SHERIA DHIDI YA VYOMBO VYENYE DHAMANA

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA  ATAKA WANANCHI KUFAHAMU TARATIBU NA SHERIA DHIDI YA VYOMBO VYENYE DHAMANA
MKUU wa wilaya ya Shinyanga  Josephine Matiro  ametoa wito kwa wananchi  kushiriki utolewaji wa elimu  katika vyombo vinavyosimamia haki na sheria  ili kuweza kujua pindi haki inapotendeka nakuondoa manung’uniko yanayotokea mara kwa mara katika vyombo hivyo. var obj0=document.getElementById("adsmiddle11967903048072655515"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle21967903048072655515"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0)...
KARENY. Powered by Blogger.