var obj0=document.getElementById("adsmiddle145574691056598702");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle245574691056598702");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle145574691056598702");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle245574691056598702");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) ...
Home » Archive for May 2014
NJIA YA KUTUMIA SHANGA IMEELEZWA NI BORA ,UZAZI WA MPANGO UNATAKIWA KATIKA JAMII.
Shanga iliyoshikwa mkononi na mtoa huduma ya afya ya uzazi ambayo imebuniwa na wizara ya afya kwa lengo la kuwasaidia wanafamilia kupanga uzazi kwa kutumia njia hiyo ambayo imeonekana ni rahisi ,ikiwa njia zote mtu anauhuru wa kuchagua.hivyo jamii imetakiwa kuondoa dhana potofu dhidi ya utumiaji wa njia zilizopo kuwa zina madhara huku wakiziacha na kutumia njia ambazo sio salama.
Hili ni moja wapo la banda lililo kuwa likitoa huduma ya uzazi wa mpango katika ...
Posted by karenyblog
at 6:57 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALLY RUFUNGA AKIWA KATIKA VIWANJA VYA SHY-COM AKITEMBELEA MABANDA YA WADAU WA AFYA MKOANI HUMO.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga akiwa na mganga mkuu wa mkoa Ntuli Kapologwe katika viwanja vya shy-com mara baada ya kuwa amewasili katika uzinduzi wa mpango wa uzazi huku kauli mbiu fuata nyota ya kijana ili upate mafanikio.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akiwasili katika banda la redcross kwa lengo la kupata maelezo namna wanavyo hamasisha jamii ili waweze kutoa damu.
Wadau wa afya wakijiandaa kutoa maelezo baada ya kumuona mkuu wa...
Posted by karenyblog
at 7:00 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WADAU WA AFYA KATIKA MKOA WA SHINYANGA WAKIWA KATIKA MABANDA YAO WAKIHAMASISHA UZAZI WA MPANGO NA UPIMAJI WA VVU.
Add caption
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14939949578423820279");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24939949578423820279");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14939949578423820279");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24939949578423820279");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense...
Posted by karenyblog
at 6:39 AM,
Add Comment
Soma zaidi
RED CROSS IKIHAMASISHA UTOAJI WA DAMU SALAMA KWA WANANCHI BAADHI WAJITOKEZA.
Kijana akitoa damu katika banda la red cross katika uhamasishaji wa damu salama kwenye kampeni ya uzinduzi wa uzazi wa mpango uliozinduliwa na mkuu wa mkoa huku wadau mbalimbali wa afya wakijitokeza kwa huduma mbalimbali
Maandamano yaliyofanywa na idara ya afya kwaajili ya uhamasishaji wa uzazi wa mpango mara baada ya kuzinduliwa katika mkoa wa Shinyanga.
Kijana huyu akiwa pembeni na mtaalamu kutoka red cross baada ya kupata ushauri akisubiri...
Posted by karenyblog
at 6:25 AM,
Add Comment
Soma zaidi
DKT ROSE AKIELEZEA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZOTE NI SALAMA NA HAZINA MADHARA BALI KILA MMOJA ANAUHURU WA KUTUMIA NJIA AIPENDAYO.
Dkt Rose Madinda ambaye ni mshauri wa masuala ya afya akielezea changamoto za wanawake kuhusiana na utumiaji wa njia ya uzazi wa mpango ambapo anasema njia hizo ni salala hazina madhara yoyote kama inavyoelezwa huku akiwataka kuacha kutumia njia ambazo sio za kitaalamu zilizofanyiwa utafiti na badala yake kutumia njia potofu ni kuongeza madhara zaidi katika mwili.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14824873950660133435");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24824873950660133435");
var...
Posted by karenyblog
at 6:46 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WADAU WA AFYA MKOANI SHINYANGA WAKIPATIWA TAARIFA KUHUSIANA NA UZAZI WA MPANGO KATIKA JAMII AMBAPO MKOA WA SHINYANGA UMEFIKIA ASILIMIA 12.5 KWA WANAOTUMIA NJIA YA UZAZI WA MPANGO.
Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt Ntuli Kapologwe akielezea wadau wa masuala ya afya mkoani humo jinsi ya mikakati ya uhamasishaji wa uzazi wa mpango katika jamii ambapo kimkoa umekuwa na asilimia 12.5 ya idadi ya watu wanao tumia uzazi wa mpango kwa njia ya kisasa.
Wadau wa afya mkoani Shinyanga wakisikiliza taarifa iliyotolewa dhidi ya wizara ya afya huku wakilalamika kuhusiana na takwimu zinazotolewa ,ambapo wamekuwa wakitoa...
Posted by karenyblog
at 6:40 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WANAFUNZI NA WALIMU SHULE YA MASAGALA WAPATIWA ELIMU NA IDARA YA UHAMIAJI.
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi Masigala wakipatiwa elimu na afisa kutoka idara ya uhamiaji mkoa ambaye hayupo pichani.
Shule ya msingi Masagala ambayo imejiwekea jukumu la kuwa na kisima cha kuhifadhi maji kwaajili ya kumwagilizia bustani za maua shuleni hapo na kufanya shule kuwa miongoni mwa shule zinazotunza mazingira.
Wanafunzi wa shule ya msingi Masagala iliyopo kata ya Songwa wilayani Kishapu wakipatiwa elimu na ...
Posted by karenyblog
at 1:56 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAANDAMANO YALIYOFANYWA NA WANAWAKE WA UWT MANISPAA YA SHINYANGA LENGO KUPINGA UKATILI WA WATOTO.
BAADHI ya wakazi wa manispaa ya Shinyanga wakifanya maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya watoto ambayo yamekuwa yakifanywa na baadhi ya waendesha daladala za baiskeli kwa kuwafanyia watoto vitendo vya ubakaji huku wakiaachia ulemavu kwa kuwatoboa macho.
Wakazi hao waliokusanyana katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga mjini waliamua kufanya maandamano ya amani kwa lengo la kutaka waendesha dalala hao wawe na usajili maalumu wa kuwatambua au...
Posted by karenyblog
at 6:08 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA SHINYANGA KIKIPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA HICHO.
Katibu wa CCM katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga vijijini akijitambulisha kwa mara ya kwanza kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya hiyo mara baada ya kuwa amehamia akitokea mkoani Kagera.
Katibu wa CCM mkoa wa Shinyanga Adam Ngalawa akimpa mkono mzee Masale Sengerema wakati alipoteuliwa na mwenyekiti wa wilaya ya Shinyanga Mwenzetu Mgeja kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya.
Mkuu wa wilaya ...
Posted by karenyblog
at 10:56 PM,
Add Comment
Soma zaidi
HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SHINYANGA KUJENGWA KIJIJI CHA NEGEZI KATA YA MWAWAZA MANISPAA YA SHINYANGA.
wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Shinyanga wakifutilia kwa ukaribu ujenzi unaoanza kwaajili ya hospitali ya rufaa ya mkoa ambapo ziara hiyo iliongozwa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga
ambapo ujenzi huo unajengwa katika eneo la kijiji cha Negezi kata ya Mwawaza manispaa ya Shinyanga.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga akiwa kwenye eneo linalojengwa hospitali ya rufaa ya mkoa akimueleza mwenyekiti wa CCM mkoa Khamis Mgeja ambapo ujenzi...
Posted by karenyblog
at 5:17 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI KATA YA TINDE KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA
Mbunge viti maalumu Azzah Hillai akimueleza naibu waziri wa maji Amosi Makala uhaba wa maji safi na salama katika kata ya Tinde ambapo waziri huyo alitembelea miundombinu mbalimbali ya maji ili kujionea hali halisi.
Ikiwa baadhi ya wananchi walimuletea maji wanayotumia kwa kunywa kama hapo yanavyoonekana meza kuu kwenye jagi na chupa.
Baadhi ya vijana wakiwa na mkokoteni unaokokotwa na punda utakao beba madumu ya maji kwa lengo la kuyapeleka...
Posted by karenyblog
at 1:20 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI WAKITOA MALALAMIKO YAO DHIDI YA MIFUKO YA HIFADHI.
Mwenyekiti wa chama cha watumishi wa serikali za mitaa TALGHU tawi la Shinyanga Christopher Malengo alipokuwa akiwasilisha malalamiko dhidhi ya mifuko ya hifadhi kuwa imejikita kusaidia wafanyakazi na kutumia fedha hizo kwaajili ya uwekezaji ,ikiwa alishauri kuwa wenye mifuko hiyo watengeneze utaratibu wa kuwekeza kwa kukopa wafanyakazi pindi bado wawapo kazini kuliko kusubiri uzeeni,
Hata hivyo aliwaeleza mamlaka ya mifuko ya hifadhi SSRA ...
Posted by karenyblog
at 7:19 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA ASKARI MKOANI SHINYANGA WAKIPATIWA SEMINA FUPI KUHUSU MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII (SSRA)
Baadhi ya Askari mkoani Shinyanga wakisikiliza moja ya semina iliyoandaliwa na mwamvuli wa mifuko ya jamii nchini SSRA ambapo semina hiyo ilifanyika ndani ya ukumbi wa Ibanza hotel huku wakiwa na shauku kubwa ya kujua changamoto zinazowakabili baada ya kujiunga na mifuko ya hifadhi mbalimbali.
Insp Robert Mageta wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga akiuliza swali juu ya mafao wanayokatwa katika mifuko mbalimbali huku akieleza ...
Posted by karenyblog
at 7:50 AM,
Add Comment
Soma zaidi
JESHI LA POLISI MKOANI SHINYANGA LIKIPATIWA SEMINA JUU YA MIFUKO YA HIFADHI.
Mwanasheria mwandamizi wa SSRA kutoka jijini Dar-es-salaam Salma Maghimbi akitoa elimu juu ya mifuko ya hifadhi nchini inavyofanya kazi katika semina iliyowahusisha jeshi la polisi mkoani Shinyanga huku nao wakieleza changamoto wanazokumbana nazo mara walipojiunga kwenye mifuko hiyo.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle13400042185282701464");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle23400042185282701464");
var s=obj1.innerHTML;
var...
Posted by karenyblog
at 6:12 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ALBINO AUWAWA KIKATILI WILAYANI BARIADI

Bariadi. Matukio ya kuuawa kwa watu wenye ulemavu wa Ngozi (Albino)
yamezuka upya mkoani Simyu, ambapo mwanamke mmoja Mughu Lugata (40) mwenye
ulemavu wa ngozi (Albino) ameuawa kinyama kwa kukatwa katwa mapanga na watu
wasiojulikana pamoja na kutoweka na baadhi ya viungo vyake.
Tukio hilo lililotokea
katika kitongoji cha chalala kijiji cha Gasuma kata ya Nkololo wilayani Bariadi
Mkoani hapa, marehemu alikatwa mguu wake wa kushoto sehemu ya goti, vidole 2
mkono wa kushoto pamoja...
Posted by karenyblog
at 11:28 PM,
Add Comment
Soma zaidi
SSRA YATOA MAFUNZO KWA WAJASILIAMALI MANISPAA YA SHINYANGA.
Wajasiliamali manispaa ya Shinyanga wakipatiwa elimu juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii inavyonufaisha maisha ya baadaye hivyo ni muhimu kujiunga kwao
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18468664540817391696");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle28468664540817391696");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18468664540817391696");
var...
Posted by karenyblog
at 7:11 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WATOTO NA AKINA MAMA WAANDAMANA KUPINGA UKATILI UNAOFANYWA NA KIKUNDI CHA BOKO HARAMU

WATOTO na akina mama manispaa ya Shinyanga wameandamana kwa lengo la
kupinga ukatili dhidi ya watoto wa kike uliofanywa na kundi la
waharamia wa kiislamu linalojulikana kama boko haramu lililopo
nchini Nigeria mara baada ya kuwateka wanafunzi zaidi ya 270.Maandamano
hayo yalishirikisha pia shirika lisilo la kiserikali la AMSK
FOUNDATION la mjini Shinyanga linalojihusisha na shughuli za...
Posted by karenyblog
at 5:08 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAJASILIAMALI MANISPAA YA SHINYANGA WAPATIWA ELIMU YA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI.

WAJASILIAMALI
manispaa ya Shinyanga wamepatiwa
elimu juu ya kujiunga na mfuko wa
hifadhi ya jamii ili kuweza kuboresha maisha yao na kuondoa dhana ya mifuko hiyo kuwa inawahusu waliopo kwenye sekta rasmi
pekee kama ilivyo kuwa awali.
Kwa sasa mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa sekta ya
mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA) imeamua kutoa fursa hata kwa
wajasiliamali wanaofanya biashara
ndogondogo kujiunga na mifuko hiyo kwa
mujibu...
Posted by karenyblog
at 5:03 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAMLAKA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YATAKIWA KUSIMAMI ILI KUONDOA UTAPELI UNAOFANYWA.

BAADHI ya wajiriwa
katika sekta mbalimbali mkoani Shinyanga
wameitaka mamlaka ya mfuko wa
hifadhi ya jamii nchini (SSRA) kuzisimamia hifadhi zilizopo ili kuacha
kufanya kazi kwa kutapeli bila
kueleza viwango vya fedha wanavyokusanya hali ambayo imejidhihirishia
hata kipindi cha kustaafu kupokea mafao yao kidogo tofauti na wanavyotarajia.
Hata hivyo imebainika kuwa watumishi wapya wa serikali
hususani waajiriwa wapya kutoa fomu ambazo zimeshajazwa...
Posted by karenyblog
at 4:58 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZAIDI YA WAKULIMA 14,000 WAMEBAINIKA KUPATA HASARA KWA KUTUMIA MBEGU ZISIZO NA MANYOYA NA KUTOOTA. VIZURI

IMEBAINIKA kuwa wakulima wa zao la
pamba zaidi ya 14,000 nchini wamepata hasara baada ya kupanda ekari 50
elfu kwa kutumia mbegu zisizo na manyoya za Quiton na kushindwa kuota,
huku wilaya ya Kishapu ikiwa ni miongoni kwa kupata hasara ya billion 1.6
ambazo zingetokana na kuuza zao hilo.
Katika mikoa sita na wilaya 23 ,ambapo ekari 50 ,000 hazikuota
zilizopandwa kwa kutumia mbegu ya quiton UK 91 na UK 08 ,ambazo zilifanyiwa
utafiti katika chuo cha Ukiriguru...
Posted by karenyblog
at 10:49 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MRADI WA BWAWA LA ISHOLOLO WAMSIKITISHA NAIBU WAZIRI WA CHAKULA KILIMO NA USHIRIKA ALIPOPATIWA MAELEZO JUU YA KUKWAMA KWAKE

MRADI
wa mbwawa la umwagiliaji katika kijiji cha Ishololo kata ya Usule
halmashauri ya wilaya Shinyanga umeingia sura mpya mara
baada ya naibu waziri wa kilimo,chakula na ushirika
Godfrey Zambi kuutembelea na kujionea hali halisi
ya kutokamilika kwake ingawa mkandarasi ameongezewa
muda huku akisikitishwa na uongozi ngazi ya kanda,mkoa na
wilaya kutoshirikishwa na...
Posted by karenyblog
at 10:43 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MRADI WA MBWAWA KATIKA KIJIJI CHA ISHOLOLO WILAYANI SHINYANGA WASHINDWA KUKAMILIKA.
Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika Godfrey Zambi akiwa katika mradi wa bwawa la Ishololo katika kijiji hicho kata ya Usule wilayani Shinyanga sambamba na mbunge viti maalum Azzah Hillali ambapo mradi huo umeshindwa kuisha ingawa umetumia kiasi cha shilingi millioni 940 huku mkandarasi wake akidaiwa kukosa vifaa na kuendeleza shughuli zake binafsi.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14140343287792818598");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24140343287792818598");
var...
Posted by karenyblog
at 4:54 AM,
Add Comment
Soma zaidi
HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU IKITOA TAARIFA YA MIRADI YA UMWAGILIAJI.
ugeni wa naibu waziri wa kilimo,chakula na uchirika Godfrey Zambi akiwa ameambatana na injinia wa kanda ya ziwa Ebenezer Kombe sanjari na mkuu wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Wilson Nkhambaku katika ukumbi wa halmashauri lengo kupata taarifa za awali kuhusu miradi ya umwagiliaji.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle15595418008077365828");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle25595418008077365828");
var s=obj1.innerHTML;
var...
Posted by karenyblog
at 4:43 AM,
Add Comment
Soma zaidi
NAIBU WAZIRI WA KILIMO ,CHAKULA NA USHIRIKA AKIKAGUA MRADI WA BANIO KATIKA KIJIJI CHA ITILIMA WILAYANI KISHAPU.
Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika Godfrey Zambi akikagua mradi wa banio kwaajili ya umwagiliaji ambao haufanyi kazi licha ya kutumia gharama kubwa kwa ujenzi huku akisikitishwa na uotaji nyasi na kufanya kukosekana kwa njia ya kuelekea kwenye banio hilo.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle12522445835374014686");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle22522445835374014686");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!--...
Posted by karenyblog
at 4:32 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MRADI WA BANIO KWAAJILI YA UMWAGILIAJI HAUJANUFAISHA WAKULIMA WA KIJIJI CHA ITILIMA
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Wilson Nkhambaku akisoma taarifa ya awali ya ukaguzi wa mradi wa banio la umwagiliaji lililopo katika kijiji cha Itilima wilayani humo ambalo limetumia kiasi cha shilingi millioni 302.1 mpaka sasa halifanyi kazi.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle13817793363039893256");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle23817793363039893256");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 4:17 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)