Ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako leo kumefanyika mkutano wa UWT wilaya ya Shinyanga vijijini kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na wanawake kuwa mstari wa mbele kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zinazokuja za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2015
Aliyeshikilia kipaza sauti(mic) ni mwenyekiti wa UWT wilaya ya Shinyanga bi Helena Daudi akitambalisha wageni walioko meza kuu akiwemo katibu wa ccm mkoa wa Shinyanga Adam Ngalawa(kulia kwake)
Wajumbe...
Home » Archive for June 2014
MKUTANO WA UWT SHINYANGA VIJIJINI WAFANYIKA,WATU WENYE ULEMAVU WAPEWA MSAADA WA BAISKELI
Posted by karenyblog
at 9:15 AM,
Add Comment
Soma zaidi
TUME YA UCHAGUZI IMEKUJA NA MFUMO MPYA WA UANDIKSHWAJI MAJINA KWAAJILI YA KUPIGA KURA.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Damian Lubuva akifungua semina kwa waandishi wa habari mkoani Shinyanga ambapo alieleza kuwa kwa niaba ya tume ya taifa ya uchaguzi, sasa kuna maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ambapo zoezi la uandikishwaji utaanza hivi karibuni. Anasema kwa awamu ya kwanza watatumia mfumo mpya wa teknolojia ya BIOMETRIC VOTER REGSTRATIO (BVR) ambao ni mfumo wa kuchukua au kupima ...
Posted by karenyblog
at 3:25 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI WANAPASWA KUSAIDIWA KWA HALI YOYOTE ILI KUWEZA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZO WAKABILI IKIWEMO MARADHI.
Mlemavu wa ngozi anayesumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu ambao umeshindwa kutibiwa kwa ykosefu wa fedha.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11346985256104053822");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle21346985256104053822");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11346985256104053822");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle21346985256104053822");
var...
Posted by karenyblog
at 7:53 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA CHA DHARURA MKAGUZI NA MDHIBITI WA HESABU ZA NDANI (CAG) MKOANI SHINYANGA AKIGUNDUA MAMBO MENGI IKIWEM UDANGANYIFU WA MIAKA NA TAREHE ZA KUZALIWA.
Naibu mstahiki meya wa manispaa ya Shinyanga akifungua kikao cha baraza la madiwani cha dharura kilichofanyika katika ukumbi wa mkoa wa shinyanga.
Madiwani wa manispaa ya Shinyanga wakifuatlia taarifa inayosomwa na mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali mkoa wa Shinyanga Mussa Slyvester.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Annarose Nyamubi alisema kuwa iwapo manispaa ya Shinyanga inataka ujenzi wa ofisi ionyeshe eneo la ujenzi huo...
Posted by karenyblog
at 1:41 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KAIMU AFISA KILIMO,UMWAGILIAJI NA USHIRIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI AKIWA KATIKA ZIARA YA UKAGUZI WA MASHAMBA YA MAZAO MBALIMBALI.
Hili ni moja la zao la ufuta katika shamba darasa lililolimwa na mbwana Shayo katika kijiji cha Kwakonje wilayani Handeni.
Kaimu afisa kilimo ,umwagiliaji na ushirika Yibarila Chiza Kamele akiwa na meneja masoko wa pembejeo Hamza Ibrahim wakikagua shamba lenye zao la ufuta
Kaimu afisa kilimo ,umwagiliaji na ushirika akiwa katika moja la shamba lililolimwa kwa kufuata kanuni za kilimo bora
Baadhi ya wakulima...
Posted by karenyblog
at 3:56 PM,
Add Comment
Soma zaidi
HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI WAKULIMA WAKE WAKUMBWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI KATIKA UZALISHAJI MAZAO NA UVUNAJI IKIWEMO MASOKO.
Kaimu afisa kilimo,umwagiliaji na ushirika Yibarila Chiza akiwaelezea waandishi wa habari ambao hawapo pichani mazao mbalimbali yanayolimwa katika wilaya ya Handeni na changamoto ya ukosefu wa masoko huku akisikitishwa na baadhi ya wakulima kuendelea kutumia zana ya jembe la mkono na kutofuata kilimo cha utaalamu.
Kaimu afisa kilimo ,umwagiliaji na ushirika Yibarila Chiza Kamele akiangalia shamba darasa la zao la mtama katika kijiji cha Mazingara kata...
Posted by karenyblog
at 12:52 PM,
Add Comment
Soma zaidi
KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA TANGA AKIELEZA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA WAHALIFU.
kesho jeshi la polisi mkoani Tanga limeandaa kikao cha kuongea na wadau wa mkoa huo kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama Kamanda wa mkoa huo Costantine Massawe amewaeleza waandishi wa habari mkoani humo.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11734891691512867573");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle21734891691512867573");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 11:21 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA WAFANYABISHARA WAKUBWA NA WAJASILIAMALI WAKIONYESHA BIASHARA ZAO KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YALIYOFANYIKA JIJINI TANGA KWENYE VIWANJA VYA TANGAMANO.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle15505367513147786560");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle25505367513147786560");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle15505367513147786560");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle25505367513147786560");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0)...
Posted by karenyblog
at 11:14 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAZRI WA AFYA DKT SEIF RASHID AKIFANYA ZIARA KATIKA HOSPITALI YA MKOA,PIA AKIKAGUA WODI YA WAZAZI.
Waziri wa afya Seif Rashid akiondoka katika hospitali ya mkoa ,ambapo mganga mkuu wa mkoa Dkt Ntuli Kapologwe wakipeana mikono ya shukurani na kuagana pembeni ni katibu tawala mkoa Anselmo Tarimo na Dkt Ramadhani Kaballa.
Waziri wa afya Dkt Seif Rashid akiwa ndani ya wodi ya wazazi wanaojifungua kwa upasuaji na kisha anapata maeleo kutoka kwa mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya mkoa Fredrick Mlekwa
Moja ya waodi ya wazazi waliojifungua...
Posted by karenyblog
at 4:03 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)