RAIS MRISHO JAKAYA KIKWETE.
SHIRIKA lisilo la kiserikali SHIDEFA linalojihusisha na masuala ya sheria limemtaka Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kuvunja bunge hilo kama baadhi ya wajumbe wake wa bunge maalumu la kuunda mchakato wa katiba mpya kutorejea bungeni tena kuendelea na mchakato huo ikiwa tayari zimekwisha tumika fedha nyingi.
Shirika hilo ambalo makao makuu yake jijini Dar es salaam limesema kuwa wajumbe wa bunge hilo wameshindwa kuwapatia watanzania katiba...
Home » Archive for July 2014
SHIDEFA IMEMTAKA RAIS KIKWETE KUVUNJA BUNGE MAALUMU LA KATIBA KAMA UKAWA HAWATAKWENDA KWENYE BUNGE HILO.

Posted by karenyblog
at 9:15 AM,
Add Comment
Soma zaidi
USHUHUDA NDANI YA MIEZI MITANO WAJIVUA GAMBA WAVAA GWANDA

Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi Nape akiwatambulisha madiwani hao mara baada ya kutangaza kujivua chadema wakiwa jukwaani katika viwanja vya mahakama nguzonane.
Hapa diwani sebastiani Peter akieleza mabaya yote ya chadema mbele ya katibu wa itikadi na uenezi Nape.
hapa sare za chadema zikiteketezwa kwa moto.
MADIWANI wawili wa chama cha demokrasia na Maendeleo (chadema) kutoka manispaa ya Shinyanga wametanganza...
Posted by karenyblog
at 7:51 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA MANENO WALIYOKUWA WAKITAMKA NA KUTAKA KURUDI CHADEMA.
hapo waliojivua chadema wakisubiri kupanda jukwaani ambapo aliyevaa shati la kijani kuanzia kulia ni aliyekuwa diwani wa kata ya Maskelo anayefuatia ni diwani Sebastiani Peter wa kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa jimbo la Maswa Magharibi mkoani Simiyu Slyvester Kasulumbai akituliza fujo iliyokuwa ikianz kutokea katika mkutano wa hadhara.
Kasulumbayi akiwapa maelekeza madiwani ambao walikuwa wamejiuzuru ambao walikuwa juu ya jukwaa...
Posted by karenyblog
at 7:37 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA MIZANI AINA YA DIGITALI ZIMECHAKACHULIWA NA KUWAPUNJA WAKULIMA.
Wakulima wa kijiji cha Wigelekelo wilayani Maswa mkoani Simiyu wakipeleka pamba yao sokoni.
Pia mzani unaotumika kwa hivi sasa ni mzani aina ya dijiti ambao unadaiwa kuchakachuliwa na wanunuzi wa zao hilo ikiwa kaimu wakala wa vipimo kwa mkoa wa Shinyanga na Simiyu Juma Chaha alisema kuwa kweli mizani hizo baadhi yao sio waaminifu wanawadanganya wakulima na kuwapunja ambapo kwa wilaya ya Meatu wakulima wake walijitahidi kununua mizani yao na kuweza kudhibiti wizi...
Posted by karenyblog
at 4:26 AM,
Add Comment
Soma zaidi
USAWA KWENYE ELIMU KWA WATOTO WA KIKE BADO WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA.

Mwezeshaji kutoka mtandao wa jinsia Tanzania Kenny Ngomuo akiwa katika semina ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga march mwaka huu,ambapo alieleza suala la utekelezaji wa masuala mbalimbali ikiwemo elimu,.
Hata hivyo bado asilimia 14 ya wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka huu
wilayani Kishapu mkoani Shinyanga hawajaripoti shule ikiwa idadi kubwa
ni wasichana huku ikielezwa hakuna sababu yoyote iliyowafanya
wasiripoti ambapo tayari wazazi...
Posted by karenyblog
at 11:17 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI WALIOJIUZURU CHADEMA NA KUJIUNGA CCM WARUDI TENA CHADEMA KWA KUPIGA MAGOTI.
Aliyekuwa diwani wa kata ya Ngokolo Sebasitian Peter akiwa ameshikwa na walinzi wa chadema ili asipate kipigo baada ya kuwasili kwenye viwanja vya mahakama nguzonane manispaa ya Shinyanga ambapo lengo la kwenda kwenye mkutano huo ni kutaka kuomba msamaha kwa wafuasi wa chama hicho kurudi tena baada ya kupewa nafasi walieleza kushawishiwa na CCM na kuahidiwa fedha kwa matukio kadhaa watakayoyafanya jambo ambalo lilionyesha simanzi na huzuni kwa wananchi...
Posted by karenyblog
at 10:57 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MATUKIO YA PICHA MBALIMBALI ZA MBUNGE VITI MAALUMU MKOA WA SHINYANGA AZZAH HILALI.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18013995460362464706");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle28013995460362464706");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18013995460362464706");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle28013995460362464706");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense...
Posted by karenyblog
at 2:04 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UZAZI WA MPANGO MKOANI SHINYANGA WANAOTUMIA NI ASILIMIA 12.5 BADO KUNA CHANGAMOTO KUBWA
WADAU WA AFYA WAKIHAMASISHA KUFUATA UZAZI WA MPANGO MKOANI SHINYANGA.
BAADHI ya wazazi na
walezi mkoani Shinyanga wamekuwa wakiwafanyia unyasaji wa kijinsia
watoto wa kike kwa kuwaoza mapema kabla ya umri wao na viungo kutokukomaa
vizuri kwa lengo la kutaka utajiri wa haraka hali ambayo imeonyesha
kuongezeka kwa mimba za utotoni na kufikia asilimia 59 ambapo imeonekana
pia kushindwa kutumia njia ya mpango wa uzazi.
Licha...
Posted by karenyblog
at 7:02 AM,
Add Comment
Soma zaidi
SHEIKHE WA MKOA WA SHINYANGA AWAASA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU
Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa uwanja wa CCM Kambarage ikiwa ni siku ya Idd el-fitri.
Sherkhe
wa mkoa wa Shinyanga Ismail Habib Makusanya akizungumza na waumini wa
dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza kuswali swala ya Idd el-
fitri,ambapo aliwataka kuendelea kuiombea nchi ili amani iliyopo
iendelee kuwepo sanjari na mchakato wa kupata katiba mpya umalizike kwa
amani na kuwepo maelewano kwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba.
...
Posted by karenyblog
at 3:21 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAJERUHI WANAOTIBIWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WAPATIWA MSAADA.

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAKIWA KATIKA WODI YA WATU WALIOPATA MAJERAHA KATIKA AJALI NA KULAZWA HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA.
Wafanyakazi
wa Banki ya NMB tawi la Manonga manspaa ya Shinyanga wametoa msaada wa
vitendea kazi kwenye Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga kufuatia
ajali mbili mfululizo ambazo zimesababisha vifo vya watu 3 na wengine kujeruhiwa vibaya.
Meneja wa benki hiyo James Poneka alisema
wafanyakazi wameguswa na matukio hayo ya...
Posted by karenyblog
at 8:28 PM,
Add Comment
Soma zaidi
HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU IMEWEKA MIKAKATI YA KUNYANYUA ELIMU.
HII NI SHULE YA MSINGI MASAGALA ILIYOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU NI KATI YA SHULE KUMI BORA ZILIZOFANYA VIZURI WILAYANI HUMO.
HALMASHAURI ya wilaya
Kishapu mkoani Shinyanga imeweka mikakati ya kuboresha elimu ya shule za msingi kwa kuziondoa changamoto mbalimbali
zinazowakabili ikiwemo kukarabati maboma
ya vyumba vya madarasa, kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa darasa la saba huku shule ya kwanza ikizawadiwa
shilingi...
Posted by karenyblog
at 12:32 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MCHUNGAJI YOHANA NZELU WA KANISA LA KKKT AWAPASOMO LA MAADILI WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWADUI.
SHULE ya sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga inayomilikiwa na kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, imeweka mikakati ya kufukuza wanafunzi wasio waadilifu, wanaovaa sketi futi, milegezo,kuwa na Simu pamoja na kutumia vipondozi wakiwa shuleni hapo.
Hayo yalisemwa na mwalimu mkuu wa Shule hiyo mchungaji Yohana Nzelu kwenye kikao cha bodi ya shule na wazazi mara baada ya kufungua...
Posted by karenyblog
at 5:36 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UKAWA WAONGEA ,CUF WAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA.
Chief Rutarose Yemba (CUF) ambaye ni mwenyekiti wa wilaya Shinyanga mjini ,mjumbe wa baraza kuu la uongozi kwa chama hicho akiwa jukwaani katika viwanja vya Masekelo manispaa ya Shinyanga ambapo akiwahutubia wananchi kutokubali kuuza shahada zao za upigaji kura na kujitokeza kwa wingi,huku akiwataka wananchi kuacha kutapeliwa kufanya uchaguzi ulio sahihi.
YEMBA; akiwa katika jukwaa baada ya kuteuliwa katika umoja wa katiba kwa vyama vya...
Posted by karenyblog
at 2:51 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ASKOFU EMANULE MAKALA AKIWEKA JIWE NA MSINGI BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI MWADUI .
Askofu Emanual Makalla wa kanisa kiinjili kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya kusi
ni mashariki ya ziwa victoria akiweka jiwe la msingi katika jengo la bweni la wavulana shule ya sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Askofu Makalla akiendelea na ufunguzi.
Kibao kinachoonyesha ufunguzi.
Mchungaji Yohana Nzelu akielekea katika jengo la ufunguzi ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo...
Posted by karenyblog
at 1:28 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)