UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu
pamoja ...
Home » SIASA
» MAANDAMANO CHADEMA YAZIMWA GHAFLA,POLISI WATANDA KUANZIA ALFAJIRI
MAANDAMANO CHADEMA YAZIMWA GHAFLA,POLISI WATANDA KUANZIA ALFAJIRI
Hivi
ndivyo jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limejipanga kukabiliana na
maandamano yaliyotangazwa na Chadema jana ya kupinga bunge la katiba
ambayo yalitarajiwa kufanyika kuanzia leo saa mbili asubuhi lakini mpaka
sasa hakuna kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza,hata ofisi ya Chadema
imefungwa tangu asubuhi.
FFU wakiwa mtaani kukabiliana na waandamanaji kama watajitokeza leo.
0 Response to "MAANDAMANO CHADEMA YAZIMWA GHAFLA,POLISI WATANDA KUANZIA ALFAJIRI"
Post a Comment