Hili ndio gari lililopata ajali hivi punde.
Habari
Zilizotufikia hivi punde zinaeleza kutokea kwa ajali ya bus la Simba
mtoto na lori zimegongana uso kwa uso eneo la Wami ila taarifa za a hivi ali
zimebainisha kuwa dereva wa lori amefariki papo hapo huku abiria wa
simba mtoto baadhi yao kupatwa na majeruhi-Picha na Frank msaki
Taarifa kamili Tutakuletea ....
var obj0=document.getElementById("adsmiddle19176084396510829968");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle29176084396510829968");
var...
Home » Archive for October 2014
BASI LA SIMBA MTOTO LIMEGONGANA USO KWA USO NA LORI ENEO LA MTO WAMI.
Posted by karenyblog
at 6:25 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KIKAO CHA KAMATI YA MICHEZO MKOA WA TANGA WATAKA MICHEZO IPEWE KIPAUMBELE KWA VIJANA.
Kikao cha kamati ya mkoa wa tanga cha mwaka 2014
Afisa michezo mkoa wa tanga,Digna Tesha akitoa ufafanuzi kwenye kikao cha kamati ya michezo mkoa wa tanga.
Wajumbe waliohudhulia mkutano wa kujadili hali ya michezo mkoa wa tanga.
Baadhi ya wajumbe wakichangia juu ya vyama ambavyo havijafika wilayani.
Wajumbe wakimsikiliza afisa michezo wa mkoa wa tanga ambaye hayuko pichani.
Afisa michezo wa wilaya ya pangani akichangia kwenye...
Posted by karenyblog
at 1:26 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KUKOSEKANA ELIMU YA UZAZI WA MPANGO KUMESABABISHA MWANAMKE KUTELEKEZWA MSITUNI NA MUMEWE .

Mama mmoja mkazi Mabwepande wilaya ya
Kinondoni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam amevamia kituo cha ITV
akiwa na watoto mapacha sita kulalamikia kuishi maisha ya tabu na watoto
wadogo baada ya kutelekezwa na mumewe kwa madai ya kuzaa kupita kiasi.
Akizungumzia maisha yake mama huyo aliyejitambulisha kwa jina la
Salome Paulo Mhando mkazi wa Mabwepande, amesema mume wake amemtelekeza
na kumuacha na watoto mapacha sita kwa madai ya kuzaa watoto mapacha
kila anaposhika...
Posted by karenyblog
at 6:00 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MWILI WA BINADAMU ULIOKAA MOCHWARI KWA ZAIDI YA SIKU 50 HATIMAYE UMEZIKWA KIMYAKIMYA -MKOA WA KILIMANJARO MOSHI

Hatimaye mwili wa Rosemary Marandu uliohifadhiwa katika chumba
cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa siku 53 umezikwa
huku maziko hayo yakigubikwa na utata na kuhudhuriwa na wanaume sita.
Mazishi hayo yalifanyika juzi saa 10:30 jioni
katika Makaburi ya Karanga mjini hapa na hakuna aliyehudhuria kati ya
baba wala mama wa marehemu.
Taarifa za kufanyika kwa siri kwa maziko...
Posted by karenyblog
at 4:28 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MKAZI WA KIJIJI CHA MWAKITOLYO WILAYANI SHINYANGA AVAMIWA USIKU NA KUKATWA MAPANGA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE.

Mkazi wa kijiji na kata ya Mwakitolyo
wilaya ya Shinyanga Mageni Buhimili(54) ameuawa kwa kukatwa panga kichwani,mikononi na
tumboni wakati akila chakula cha usiku nyumbani kwake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha
alisema tukio hilo limetokea Oktoba 26 mwaka huu saa moja na nusu usiku.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle16892644854291595690");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle26892644854291595690");
var...
Posted by karenyblog
at 4:15 AM,
Add Comment
Soma zaidi
RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA AFARIKI DUNIA

HATIMAYE
baada ya kuibuka uvumi siku ya Jumanne kuamkia Jumatano juu ya kufariki kwa
rais wa Zambia Michael Sata, Serikali ya nchi hiyo imethibitisha kifo chake.
Kwa mujibu wa katibu wa
baraza la mawaziri, Roland Msiska amethibitisha kifo hicho cha Sata {77} kilichotokea baada ya rasi huyo kusafirii
kuelekea jijini London Uingereza juma moja lililopita kwaajii ya kupata
matibabu.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle16971934912638593306");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle26971934912638593306");
var...
Posted by karenyblog
at 11:29 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MNIGERIA ARUKA UKUTA WA IKULU YA MAREKANI MARA MBILI SASA APATA MATATIZO.
Moja
ya taarifa zilizochukua nafasi wiki iliyopita ni kuhusiana na tukio
la mtu mmoja kuruka ukuta wa ikulu ya Marekani, na baadaye kukamatwa
baada ya kushambuliwa na mbwa kabla ya kutiwa nguvuni na walinzi wa
ikulu hiyo, Secret Service.
Habari zinasema hii si mara ya kwanza
kwa Mnigeria Dominica Adesanya (23) kuruka ukuta wa White House, na
safari hii baada ya kumfikisha mahakamani imebainika kuwa ana tatizo la
akili hivyo hawezi kushitakiwa akiwa na hali...
Posted by karenyblog
at 11:21 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MABOMU MANNE YA KIVITA YAMEKAMATWA YAKIWA YAMEHIFADHIWA ARDHINI HUKO MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

Kamishna wa
Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame alisema mabomu hayo yameingizwa
Zanzibar kupitia mtandao maalumu ambao umekuwa ukifanya vitendo vya
uhalifu kwa kutumia mabomu hayo
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11535707255595758459");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle21535707255595758459");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11535707255595758459");
var...
Posted by karenyblog
at 5:59 AM,
Add Comment
Soma zaidi
TIMU YA YANGA YAZIDI KUNG'ARA NI BAADA YA KUIBUKA NA USHINDI MNONO WA MABAO 3-0 DHIDI YA STEND UNITED YA MKOA WA SHINYANGA
Bunda la mkosi limeendelea kuiandama Simba baada ya kulazimishwa tena
sare ya bao moja kwa moja na maafande wa Prisons katika Uwanja wa
kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya wakati mahasimu wao Yanga wakipata
ushindi mnnono wa 3-0 dhidi ya Stand United mjini Shinyanga.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle13351457606555404962");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle23351457606555404962");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0)...
Posted by karenyblog
at 11:41 PM,
Add Comment
Soma zaidi
AJALI YA HIACE -MOSHI, MAJERUHI WAKIMBIZWA HOSPITALI KWA MATIBABU

Hii ndiyo Hiace inavyoonekana mara baada ya kupata ajali
Wananchi wakienda kushuhudia ajali hiyo na kutoa msaada kwa majeruhi.
Wananchi wakiangalia Hiace hiyo iliyopata ajaliMajeruhi wa ajali hiyo wakiwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidiWananchi wakiuangalia mwili wa aliyefariki katika ajali hiyo (uliofunikwa kwa kitenge katikati ya barabara)Ajali
mbaya ya gari imetokea hii leo katika eneo la KNCU barabara ya Kibosho
Kirima Moshi Kilimanjaro, baada...
Posted by karenyblog
at 11:21 PM,
Add Comment
Soma zaidi
BOT KUTOA NOTI YA SHILINGI 1000 NI BAADA YA MALALAMIKO KUTOKA KWENYE FAMILIA YA HAYATI BABA WA TAIFA.
Kumbukumbu zako ziko sawa kuhusu yale malalamiko ya kukosewa kwa
picha ya Mwalimu Nyerere kwenye noti ya shilingi elfu moja? basi kama
hazipo sawa, ichukue hiyo.
Baada ya hayo malalamiko unaambiwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),
imesema imeanza kufanyia kazi malalamiko ya kukosewa kwa picha ya Rais
wa kwanza wa Tanzania,
Marehemu Mwalimu Julius Nyerere ambapo mkurugenzi
wa huduma za kibenki Emmanuel Boaz amesema tayari benki hiyo imeanza...
Posted by karenyblog
at 3:06 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA TANGANYIKA PAKERS KWENYE MRADI WA NYUMBA ZA NHC
Kaimu
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Felix Maagi
akiiongoza Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea
eneo la mradi wa nyumba ambao unatarajiwa kuanza katika uwanja wa
kulenga shabaha wa jeshi la wananchi Kunduchi, baada ya makubaliano kati
ya jeshi la wananchi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kamati hiyo
ikiongozwa na mwenyekiti wake na jimbo la Kahama Mbunge Mh. James
Lembeli na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Profesa...
Posted by karenyblog
at 12:45 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WANAO WANIA UONGOZI NDANI YA CHADEMA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA WATWANGANA MAKONDE
hapa ni mahali pa ofisi ya chadema kwa mkoa wa Shinyanga.
Uchaguzi wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,wilaya ya Kahama mkoani
Shinyanga umeingia dosari,baada ya mmoja wa madiwani wa chama hicho kuhusishwa
na rushwa na vitendo vya usaliti ndani ya chama kutoka CCM.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14772308889844695595");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24772308889844695595");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense...
Posted by karenyblog
at 5:58 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MWANAUME APIGWA RISASI TUMBONI NYAKATI ZA MCHANA AKIWA NDANI YA GARI-MAGOMENI DAR
Mtu
asiyefahamika akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kupigwa risasi
tumboni. Kushoto kwake ni mwanamke aliyekuwa naye garini.
....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo.…
Mtu
asiyefahamika akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kupigwa risasi
tumboni. Kushoto kwake ni mwanamke aliyekuwa naye garini.
....wapita njiawakijaribu kutoa msaada kwa mtu huyo.
Muonekano wa nyumba wa gari hilo.
...hawa jamaa nao waligongana, mwendesha pikipiki na mwenye gari...
Posted by karenyblog
at 10:13 AM,
Add Comment
Soma zaidi
DREVA WA BODABODA AUAWA KIKATILI KISHA MWILI WAKE KUTELEKEZWA KANISANI.
Kijana mwendesha pikipiki akibeba
abiria maarufu kama (Boda boda) katika manispaa ya Tabora ameuawa na
watu wasiojulikana na kumtelekeza aneo la kanisa katholiki Makokola, na
kutoweka na pikipiki yake aina ya Sanlg huku kisu kilichodaiwa kutumika
kumuua kikitelekezwa eneo hilo.
Akizungumza kwa masikitiko eneo la tukio alipouawa mwendesha
pikipiki huyo, katibu wa chama cha waendesha Bodaboda Bw.Kasim Kiduli
amesema kuwa, matuikio ya kukatisha maisha ya waendesha pikipiki
inaonesha...
Posted by karenyblog
at 4:06 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WATU WATANO WANUSURIKA KUFA KWENYE AJALI YA GARI-KIMARA DAR
Gari aina ya Mitsubishi Canter likiwa pembezoni mwa barabara baada ya ajali hiyo.
Muonekana wa gari hilo baada ya ajali.
Baadhi ya raia waliokuwa kwenye eneo la tukio
Polisi wakiwa eneo la tukio.
Watu watano wamenusurika kufa kwa ajali Kimara Dar es Salaam baada ya
gari dogo aina ya Toyota Rav 4 iliyokuwa ikitokea Kimara kuelekea
Ubungo kuhama upande wa pili wa barabara na kugongana uso kwa uso na
gari aina ya Mitsubishi Canter na kusababisha dereva wa Canter kuumia
vibaya...
Posted by karenyblog
at 9:37 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MBUNG MREMA ANENA JIMBONI KWAKE AHAMASISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Mbunge
wa jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa chama cha TLP,Dk.Augustine Lyatonga
Mrema akihutubia mkutano wake wa hadhara jimboni kwake jana kwa ajili
ya kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na pia kuelezea utekelezaji
wa miradi ya Maendeleo,aidha katika jimbo hilo la Vunjo kumekuwepo na
Mvutano mkubwa kwa vyama vya CCM,Innocent Shirima na Mh.James Mbatia wa
NCCR-Mageuzi.
habari hii kwa msaada wa eddymobilize.blogspot.com
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14637130111242484874");
var...
Posted by karenyblog
at 9:23 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)