Habari za hivi Punde

NANI KAFANYA UNYAMA HUU,MTOTO WA MIAKA 3 ANYONGWA NA WATU WASIOJULIKANA

NANI KAFANYA UNYAMA HUU,MTOTO  WA MIAKA 3 ANYONGWA NA WATU WASIOJULIKANA
Mtoto Nuru kabla yakufikwa na umauti pichani alipo kuwa na miaka 3.Mtoto huyo anadaiwa kunyongwa Alhamisi iliyopita na kuzikwa katika Makaburi ya Majohe kwa Muslim (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA BILALI) Mmiliki wa Blog ya UJIJIRAHAA. Nguo ya Mmtoto huyo alio kua ameivaa kabla ya kunyongwa kinyama . Mama wa marehemu Nuru Mohamedi , ambaye ni Sauda Ally. akiwa amelala kutokana na kuishiwa nguvu mwilini kwa kufikwa na tukio hilo. wakati akiongea na mwandishi wa...

SHULE YA MSINGI YA FILBERT BAYI ILIYOPO KIBAHA IMETEKETEA KWA MOTO.

SHULE YA MSINGI YA  FILBERT BAYI ILIYOPO KIBAHA IMETEKETEA KWA MOTO.
 apani wanakijiji wanao kaa kalibu na shule hiyo wakishuudia shule iyo ikiwaka moto uku wakishindwa kutoa msaada wowote kutokana na gari la zima moto la mkoa wa pwani kushindwa kufika kutokana na kudai kuwa ni bovu Mnamo majira ya saa8 usiku wa kuamkia leo Shule ya msingi iyo iliyopo kibaha mkoani pwani maeneo ya kwamatiasi usiku wa kuamkia leo imeungua moto yote.chanzo ikiwa ni shot ya umeme iliyo jitokeza kwenye chumba kimoja cha madarasa hayo na kusababisha madarasa...

SERIKALI YA CHINA IMELAANI VIKALI KUHUSISHWA TUHUMA ZA NDEGE YA RAIS KUBEBA MENO YA NDOVU

SERIKALI YA CHINA IMELAANI VIKALI KUHUSISHWA TUHUMA  ZA NDEGE YA RAIS KUBEBA MENO YA NDOVU
Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Youqing akizungumza na vyombo vya habari mjini Arusha leo juu ya tuhuma za kuhusishwa kwa Ndege ya Rais wa China kubeba meno ya ndovu kutoka nchini.Katikati ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii,Mh. James Lembeli. Serikali ya China imelaani vikali uzushi uliotolewa na vyombo vya magharibi kutuhumu ndege ya Rais huyo kutumika kubeba meno ya ndovu kutoka...

ATHONY LUSEKELO (MZEE WA UPAKO) ADAIWA KUMTISHIA MAISHA KIJANA AMBAYE NI MUUMINI WA GWAJIMA.

ATHONY LUSEKELO (MZEE  WA UPAKO) ADAIWA KUMTISHIA MAISHA KIJANA  AMBAYE NI MUUMINI WA GWAJIMA.
Kijana anayejitambulisha kwa jina la Robert Lugala, anayedai kutishiwa maisha na Mchungaji Lusekelo Anthon. Akizungumza na waandishi wetu juzi jijini Dar, Robert ambaye shughuli zake ni kuuza chipsi usiku kucha, alisema mara kwa mara Mzee wa Upako amekuwa akimfuata eneo lake la kazi na kumtishia maisha kwa kumwambia maneno mbalimbali yenye vitisho. “Mara ya kwanza ilikuwa Oktoba 9, mwaka huu saa kumi kasoro usiku. Alipaki gari lake, Land Cruiser (Toyota) nyeusi. LILE sakata...

WAUMINI WA KANISA LA KKKT WAMETAKIWA KUISOMA KATIBA PENDEKEZO.

WAUMINI WA KANISA LA KKKT WAMETAKIWA KUISOMA KATIBA PENDEKEZO.
WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-KKKT-mission ya Tabora  wametakiwa kuisoma rasimu ya katiba iliyopendekezwa na kuielewa ili waweze kuipigia kura ya maoni.   Akizungumza  katika ibada ya Jumapili Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la KKKT mission ya Tabora, Patrick Kiula, alisema waumini wamekuwa ni watu wavivu wa kusoma na hivyo kubaki kulalamika tu. var obj0=document.getElementById("adsmiddle12226498489399188946"); var...

WANAFUNZI WAASWA KUSOMA MASOMO YENYE TIJA YANAYOENDANA NA SOKO LA AJIRA.

WANAFUNZI WAASWA KUSOMA  MASOMO  YENYE TIJA YANAYOENDANA NA SOKO LA AJIRA.
WANAFUNZI wa shule za Sekondari mkoani Shinyanga wametakiwa kusoma masomo yenye tija yatakayokwenda sambamba na soko la ajira hasa katika wakati huu mgumu wa kuajiriwa. Kauli hiyo ilitolewa na  mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya kwenye maafali ya kumaliza kidato cha nne kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kishimba iliyopo katika halmashauri ya mji wa Kahama. Katika mahafali hayo Mpesya aliyewakilishwa na Afisa uhamiaji wilayani humo Zacharia Misana alisema...

UKATILI KWA WATOTO MKOANI SHINYANGA BADO CHANGAMOTO KUBWA INAKADIRIWA KWA SIKU WATOTO 16 MKOANI SHINYANGA HUPEWA UJAUZITO.

UKATILI KWA WATOTO MKOANI SHINYANGA BADO CHANGAMOTO KUBWA  INAKADIRIWA  KWA SIKU WATOTO 16 MKOANI SHINYANGA HUPEWA UJAUZITO.
Vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinaendelea  kushika kasi mkoani Shinyanga huku takwimu zikionesha kuwa watoto 16 wanapewa ujauzito kila siku na wengine 500 wakiachishwa shule kila mwaka kutokana na mimba na ndoa za utotoni. Takwimu hizo zimetolewa wiki hii na Mkurugenzi wa Shirika la lisilo la kiserikali linaloteteaa haki za watoto na wanawake la AGAPE mkoani Shinyanga John Myola (PICHANI)wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Shinyanga. var...

KIJANA ALIPUKIWA NA KITU KIDHANIWACHO NI BOMU AKIWA NDANI YA GARI AINA YA FUSO.

KIJANA ALIPUKIWA NA KITU KIDHANIWACHO NI BOMU AKIWA NDANI YA GARI AINA YA FUSO.
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI MSOMAJI WETU. Tarehe 01/11/2014 muda wa saa 07:45hrs katika center ya Mhunze tarafa ya Kishapu na Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kumetokea kifo cha mtu mmoja na watu watatu kujeruhiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kulipuka ndani ya gari.  Gari  hilo ni lenye namba za usajili  T. 848 AKA MITSHUBISH FUSSO likiendeshwa na Khalifa s/o Mussa 39, muhangaza wa Ngara ambalo lilitoka tarehe 31/10/14 saa 04:00 hrs mjini Ngara...

MKUTANO WA CHADEMA MKOANI SHINYANGA WAHIMIZA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUPIGIA KURA

MKUTANO WA CHADEMA MKOANI SHINYANGA WAHIMIZA WANANCHI KUJIANDIKISHA  KWENYE DAFTARI LA KUPIGIA KURA
Maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na maeneo ya jirani waliojitokeza jioni ya leo katika viwanja vya mahakama ya mwanzo Nguzo nane mjini Shinyanga katika mkutano mkubwa wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa ndugu Halima Mdee ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe.Pamoja na mambo mengine viongozi mbalimbali wa Chama hicho walisisitiza umuhimu wa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura na kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa Desemba 14,2014...

KIJANA MMOJA ANUSURIKA KIFO KWA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA

KIJANA MMOJA ANUSURIKA KIFO KWA  KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA
 Kibaka huyo akiomba msamaha baa da ya kupokea kichapo kutoka kwa kundi la wananchi waliofulika kwenye ukumbi huo. Kijana mmoja anayesadikiwa kuwa kibaka  amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kibaka huyo kukamatwa nakijaribu kuiba boda boda .  Mabausa wa ukumbi huo wakimtoa nje kibaka akiwa na Pingu mkononi var obj0=document.getElementById("adsmiddle1809369019845141893"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle2809369019845141893"); var...

ASKARI WA KIKE (WP) AFANYA UKATILI AMKATA VIDOLE MFANYAKAZI WAKE WA NDANI NA KUMNYIMA MSHAHARA

ASKARI WA KIKE  (WP) AFANYA UKATILI AMKATA VIDOLE MFANYAKAZI WAKE WA NDANI NA KUMNYIMA MSHAHARA
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne vya mkono wa kulia kwa panga, akimtuhumu kumwibia Deki ya Video nyumbani kwake.  Tukio hilo la kujeruhiwa kijana Steven Magessa (18), lilitokea Oktoba 20 mwaka huu katika kijiji cha Magange Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara nyumbani kwao kijana huyo aliyekuwa amekimbilia huko...
KARENY. Powered by Blogger.