WATU wadhanwao ni majangili katika pori la akiba Maswa waliofanya tukio la kutunguahelkopita ya kampuni ya Mwimba Holding Limited na kusababisha kifo chaRubani, Rodgers Charvis raia wa Uingeleza ambaye alikuwaakitekelezamajikumu yake jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamatawahusika 9 pamoja na bunduki 29 ikiwemo meno ya tembo matatu.Akiongea jana na waandishi wa habari mkoani Simiyu, Kamanda wa polisimkoani hapa Lazaro Mambosasa alisema kuwa jeshi...
Home » Archive for February 2016
MENO YA TEMBO YAKAMATWA HUKU WATU TISA WAKISHIKILIWA NA JESHI LA POLISI
Posted by karenyblog
at 8:23 PM,
Add Comment
Soma zaidi
WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MAHAKAMA ZA MWANZO
WATUMISHI wa idara ya mahakama mkoani Shinyanga
wametolewa hofu ya kuhakikisha wananchi wanashirikishwa ili kuweza kuboresha
miundombinu ya majengo kama wafanyavyo kwenye sekta zingine.
Hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga kwenye kilele cha
maadhimisho ya siku ya sheria yaliyofanyka kwenye viwanja vya mahaka mkazi
wilaya nakuhusisha wadau kutoka maeneo mbalimbali wakiwemo viongozi wa
madhehebu ya dini.
var...
Posted by karenyblog
at 9:25 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA ATAKA WANANCHI KUFAHAMU TARATIBU NA SHERIA DHIDI YA VYOMBO VYENYE DHAMANA
MKUU wa
wilaya ya Shinyanga Josephine
Matiro ametoa wito kwa wananchi kushiriki utolewaji wa elimu katika vyombo vinavyosimamia haki na sheria ili kuweza kujua pindi haki inapotendeka
nakuondoa manung’uniko yanayotokea mara kwa mara katika vyombo hivyo.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11967903048072655515");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle21967903048072655515");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0)...
Posted by karenyblog
at 9:53 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)