Watoto wenye ulemavu mbalimbali katika kituo cha Buhangija manispaa ya Shinyanga wakisubiri kupewa msaada wa nguo na vyakula siku ya pasaka.
Watoto wakiendelea kusubiri msaada.
Familia ya Mwalongo ikijitambulisha tayari kwa kutoa msaada siku ya Pasaka
Mbuzi aliyetolewa na familia ya Anna na Josephat Mwalongo siku ya Pasaka katika kituo cha Buhangija.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14620384079231700237");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24620384079231700237");
var...
Home » Archive for March 2016
WATOTO KWENYE KITUO CHA BUHANGIJA WAPATA MSAADA.
Posted by karenyblog
at 6:16 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MFUMODUME WAWA KIKWAZO KWA WANAWAKE KUKUZA UCHUMI
WANAWAKE nchini wameelzwa kuwa mfumo dume ndio unaowakwamisha kuweza kupata mikopo katika taasisi za fedha kwa kukosa dhamana
Licha ya kuwa waaminifu zaidi
kuliko wanaume wamekuwa kwakipata vikwazo mbalimbali vyakushindwa kuendesha
biashara`zao na pindi wanapohitajika kutoa dhamana kwaajili ya mikopo
wengi wao hushindwa sababu ya mfumodume
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14149279085469906792");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24149279085469906792");
var...
Posted by karenyblog
at 1:30 PM,
Add Comment
Soma zaidi
KUKOSEKANA KWA MASHINE ZA CD4 ZAWATESA WENYE MAAMBUKIZI YA VVU.
VITUO vya kutolea huduma
kwa watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi mkoani Shinyanga vinakabiliwa na
changamoto ya upungufu wa mashine za kupimia CD4 hali inayosababisha hofu
kwa watumiaji wa dawa za kufubaza makali (ARV).
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18740829233657820153");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle28740829233657820153");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 9:58 PM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)