Kati ya watu 40,364 waliojitokeza kupima afya kwa hiari katika halmashauri
Msalala mkoani Shinyanga 1,871 wamekutwa na maambukizi ya virusi vya
ukimwi .
Mratibu wa
ukimwi wa halmashauri hiyo Jackson
Faustine anasema kuwa watu hao walijitokeza kupima afya kati ya
Januari hadi Novemba 2015.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle118900559371687868");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle218900559371687868");
var s=obj1.innerHTML;
var...
Home » Archive for April 2016
WATU 40,364 WAMEPIMWA,1,871 WAMEBAINIKA KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU

Posted by karenyblog
at 2:16 PM,
Add Comment
Soma zaidi
DC SHINYANGA ATOA AGIZO MHANDISI WA MANISPAA KUWEKWA RUMANDE
MKUU wa wilaya ya
Shinyanga Josephine Matiro
ametoa amri ya kumuweka
ndani mhandisi wa ujenzi wa manispaa
ya Shinyanga Saimon Ngagani ,
kutokana na kukaidi agizo lake
la kufanya maandalizi mapema
ya shughuli za kuchimbia mapipa
ya kuweka taka
nyepesi katika maeneo
mbalimbali ya manispaa hiyo. ...
Posted by karenyblog
at 9:54 PM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)