MWENYEKITI
wa timu ya Stend United iliyopo mkoani
Shinyanga Ellyson Maeja ametaka ushirikiano wa kuinyanyua timu nakuondoa tofauti zilizokuwepo kipindi cha
nyuma huku akitangaza wachezaji watakao
achwa msimu ujao.
Wachezaji walioachwa
na wako huru ni Haruna Chanongo,Nassoro Choro,Rajab Zahir,Hassan Self, Philipo
Metusela huku waliomaliza mkataba wao ni
Salum Kamana na Elius Maturi.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle17190567593548817351");
var...
Home » Archive for June 2016
MWENYEKITI MPYA WA TIMU YA STEND UNITED ATAKA USHIRIKIANO,ATAJA WACHEZAJI WALIOACHWA KUWA WAKO HURU
Posted by karenyblog
at 11:23 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MIKAKATI YA KUPINGA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI WILAYANI SHINYANGA
MKUU wa
wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro
ameeleza mikakati dhidi ya kupinga mimba
na ndoa za utotoni ili kufanikisha
kuwakamata waliosababisha ni wasichana waliobainika kuwa na mimba kukataa kusema ukweli
watalazimika kuwekwa ndani.
Mkuu wa
wilaya huyo alisema hayo jana alipokuwa mgeni rasmi mbele ya wadau wa maendeleo katika mradi wa
kupinga mimba na ndoa za utotoni kupitia shirika la Agape ikiwa utekelezaji...
Posted by karenyblog
at 5:27 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UWT WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI WAKIWA KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU.
Katibu wa UWT wilaya ya Shinyanga vijijini akitoa akijitolea kuchangia damu.
Wakwanza kushoto ni mwenyekiti wa UWT Hellen David akiwa na wajumbe wa UWT wakijitolea uchangiaji damu lengo kuokoa vifo vya mama na mtoto vitokanavyo na ukosefu wa damu.
Wakipewa maelekezo na kufarijiwa.
Wajumbe wa UWT wakijiandaa kwa uchangiaji damu hapa wanajiandikisha tayari kwa kupata vipimo.
Katibu wa UWT Grace Haule akiendelea kuchangia damu...
Posted by karenyblog
at 4:22 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)