WAFANYABIASHARA wa vibanda katika soko la Nguzo nane
manispaa ya Shinyanga mkoani hapa wamelalamikia ongezeko la kutozwa ushuru
kutoka shilingi 15,000 na kupandishiwa shilingi 30,000 jambo ambalo wamemuomba
mkurugenzi wa manispaa hiyo Festo Kang’ombe kuongea nao ili kutatua suala hilo.
Wafanya biashara hao wakizungumza na waandishi wa habari
katika soko hilo jana walisema kuwa kilio chao kikubwa ni kumuomba mkurugenzi
wa manispaa hiyo waongee nae kwani wamekuwa wakipandishiwa...
Home » Archive for February 2014
WAFANYABIASHARA SOKO LA NGUZONANE WALALAMIKIA ONGEZEKO LA USHURU

Posted by karenyblog
at 5:23 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAAJIRI WATAKIWA KUACHA KUPOKEA RUSHWA KWA LENGO LA KUMPITISHA MFANYAKAZI BORA SIKU YA MEIMOSI

WAAJIRI wa Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani
hapa wametakiwa kuacha kupokea rushwa na kupendelea pindi wanapoteuwa
wafanyakazi bora ambao wanastaili kupewa zawadi katika siku ya kilele cha
maadhimisho ya sikukuu za wafanyakazi Duniani Meimosi
Akizungumza katika kikao cha wadau wa sherehe za Meimosi
juzi mjini shinyanga mkuu wa mkoa Shinyanga Ally Rufunga, wakati wadau hao
wakijadili mikakati ya kufanikisha maadalizi ya sherehe hizo alisema kumekuwa
na tabia kwa...
Posted by karenyblog
at 5:06 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI WALIOJIUZURU NA KUJIVUA UANACHAMA CHADEMA WAJIUNGA NA CCM MKOANI SHINYANGA

MADIWANI waliojiuzuru
nyasifa hiyo na kuamua kuondoka
katika chama cha CHADEMA ambao ni
Sebastiani Peter na Zacharia Mfuko wamejiunga rasmi na chama cha Mapinduzi (CCM) mbele ya katibu wa itikadi na uenezi
Nape Nnauye na uongozi wa mkoa wa chama hicho.
Maelfu ya wakazi wa
mkoa wa Shinyanga wakihudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya
Mahakama Nguzo nane huku
wakishuhudia waliokuwa...
Posted by karenyblog
at 10:18 PM,
Add Comment
Soma zaidi
TANESCO MIKOA YA SIMIYU NA SHINYANGA YAWAONYA VISHOKA WANAOHARIBU MIUNDOMBINU

SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) katika mikoa ya simiyu
na shinyanga limewaonya wale wote
watakao haribu miundo mbinu ya shirika hilo
wakiwemo vishoka ambao wamekuwa
wakililetea shirika hasara kubwa kwa
kuharibu mita na kufanya gharama za uzalishaji na uendeshaji kuwa kubwa hivyo
watakao bainika kwa uhalibifu huo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Hayo yalibainishwa mjini shinyanga kwenye mkutano wa hadhara
na Afisa mkuu wa huduma...
Posted by karenyblog
at 10:14 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI WA CHADEMA MANISPAA YA SHINYANGA WAJIUZURU NYASIFA HIZO

MADIWANI wawili wa chama cha maendeleo chadema wametamka rasmi kujiuzuru nyasifa hiyo
kutokana na madai ya uongozi ngazi ya taifa kuendelea kusikiliza
majungu,kudhalilisha baadhi ya viongozi pamoja na kuwaita
wahaini au wasaliti katika chama bila kuchambua ukweli na
kutotekeleza waliyoyaahidi kwa wanachama wao.
Madiwani hao ni Sebastiani Peter kutoka kata ya
Ngokolo na Zacharia Mfuko kutoka kata ya Masekelo kwa pamoja jana...
Posted by karenyblog
at 3:08 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA YAANZA KUSIKILIZA KESI ZA MAUAJI MKOANI SHINYANGA NA SIMIYU.

MAHAKAMA
kuu kanda ya Tabora imeanza kusikiliza kesi za mauaji mbalimbali
katika mkoa wa Shinyanga kwa mwaka huu ikiwa kesi kumi na moja
zitasikilizwa ndani ya mwezi mmoja ikiwemo mauaji yanayotokana na imani
za kishirikina.
Ambapo mara baada ya kumalizika ufunguzi wa kusikiliza kesi hizo
mahakama ilianza kwa kuangalia upande wa mtuhumiwa Mbula Mako
aliyekuwa mganga wa kienyeji kufanya mauaji dhidi ya kikongwe Buguta
Mashilima...
Posted by karenyblog
at 2:59 AM,
Add Comment
Soma zaidi
VIJANA KUTOJITAMBUA WAMESHINDWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MCHAKATO WA KUTOA MAWAZO YAO RASMU YA KATIBA MPYA

KITENDO
cha vijana kutokujitambua kumesababisha
washindwe kushiriki kikamilifu katika mchakato
wa kutoa mawazo yao kuhusu rasmu ya katiba mpya.
Hayo yalielezwa na Mkurungenzi wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotetea haki za
wanawake na watoto wenye maambukizi ya
virusi vinavyosababisha Ukimwi
(AGAPE) John Myolla
katika ufunguzi wa kongamano la vijana kujadili rasmu ya
katiba mpya lililofanyika mjini...
Posted by karenyblog
at 9:43 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZAIDI YA ASILIMIA 80 YA VIJANA NCHINI HUFANYIWA UKATILI

ZAIDI ya asilimia 80 ya vijana nchini wenye
umri kati ya miaka
13 hadi 24 wameripotiwa kunyanyaswa kingono,kudhalilishwa kihisia na
kujeruhiwa walipokuwa watoto chini ya umri wa miaka 18 huku
matukio hayo yakishamiri zaidi sehemu za shule na
kuathiri uwezo wa
watoto kielimu.
Hayo yalielezwa jana na meneja wa
shirika la Save The Children mkoa wa Shinyanga Augustino
Mwashiga wakati wa uzinduzi mradi wa kudhibiti
ukatili dhidi...
Posted by karenyblog
at 8:33 AM,
Add Comment
Soma zaidi
SHULE ZA MSINGI TATU KATA YA NDEMBEZI MANISPAA YA SHINYANGA ZAPATA MSAADA WA MAHINDI

SHULE za msingi tatu zilizopo kata ya ndembezi manispaa ya shinyanga
zimepatiwa jumla ya magunia kumi na moja ya msaada wa mahindi yenye
thamani ya shilingi lakitano na nusu
kwaajili ya wanafunzi kupata uji asubuhi wakiwa shuleni hapo
ili kuondokana na ubagudhi wa wasiolipa fedha kutokunywa uji na waliolipa
kunywa.
Msaada huo wa mahindi yaliyotoka kwenye kitengo cha maafa ofisi ya waziri mkuu
na kuamua kuyanunua ...
Posted by karenyblog
at 2:50 AM,
Add Comment
Soma zaidi
SHULE YA SEKONDARI MASEKELO INAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI IKIWEMO UKOSEFU WA VIWANJA VYA MICHEZO,UHABA WA MAJI PAMOJA NA MASHAMBA

SHULE ya sekondari
Masekelo iliyopo kwenye kata hiyo manispaa ya Shinyanga inakabiliwa na changamoto mbalimbali ya kukosa eneo kwaajili viwanja vya michezo,
mashamba ya kulima vyakula ,uhaba wa maji , hali ambayo inawafanya wanafunzi wa shule hiyo kukosa haki zao za
msingi.
Zoezi la utekelezaji kilimo cha mtama kwa shule hiyo halipo
sababu ya kukosa mashamba,hakuna eneo lililotengwa viwanja vya michezo ikiwa wananchi wanalima
mpaka nyuma ya madarasa...
Posted by karenyblog
at 2:46 AM,
Add Comment
Soma zaidi
CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA IMEKUWA NI TATIZO MKOANI SHINYANGA.

CHANGAMOTO ya kuozesha wanafunzi wa kike mara wanapohitimu
darasa la saba huku wavulana wakiendelea
kutumikishwa na shughuli za uchungaji mifugo na mambo mengine imekuwa kubwa ndani ya jamii na kufanya hali ya kuripoti kwa wanafunzi wa shule za sekondari waliochaguliwa kuingia
kidato cha kwanza mkoani Shinyanga kufikia asilimia 78 .
Hayo yalisemwa na mkuu wa mkoa wa huu Ally Rufunga wakati akiongea na waandishi wa
habari...
Posted by karenyblog
at 9:25 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAUAJI YA ALBINO YAMEPUNGUA ,YANAYOENDELEA NI MAUAJI YA KUWANIA URITHI,ARDHI PAMOJA NA IMANI ZA KISHIRIKINA

SERIKALI mkoani Shinyanga imeeleza kupungua kwa mauaji
ya albino kwa kiwango kikubwa ikiwa kwa mwaka jana hakuna tukio lolote
lililotokea la mauaji hayo isipokuwa mauaji ya watu wengine wakimweo vikongwe
kuendelea kujitokeza kwa kusababishwa kugombea mirathi,ardhi
pamoja na imani za kishirikina.
Hayo yalisemwa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally
Rufunga wakati akiongea na waandishi wahabari katika ukumbi wa mkoa huku
akieleza kuwa...
Posted by karenyblog
at 10:01 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MAMA NA MWANAYE WAULIWA KIKATILI NA WATU WASIOJULIKANA

MAMA na mwanaye wameuwawa kikatili kwa kucharangwa mapanga na
watu wasiojulikana kwa kuwavamia nyumani kwao majira ya
usiku huko katika kijiji cha Ngokolo wilayani Kahama
mkoani Shinyanga
Watu hao waliofahamika kwa majina ya Helena Charles(30) na Mlu
Nambo ( 50)
Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga
Evarist Mangala tukio hilo limetokea
juzi majira ya saa moja na nusu usiku katika...
Posted by karenyblog
at 3:14 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UKATILI WA KIJINSIA KATIKA JAMII UNALETWA NA MTAZAMO HASI

UKATILI wa kijinsia
katika jamii na familia
unaletwa na mtazamo hasi kwani
matendo kati ya mwanamke na mwanaume
yanategemeana ambapo mifarakano hutokea kwa kupingana na kuendeleza
changamoto zilizomo kwenye mila na desturi
ikiwemo kuwazuia watoto wa kike
kupata elimu ,ndoa za utotoni
pamoja na ukeketwaji.
Hayo yalisemwa na mwezeshaji
ambaye ni pia ni mhariri mtendaji wa gazeti la...
Posted by karenyblog
at 8:27 PM,
Add Comment
Soma zaidi
WANANCHI MKOANI SIMIYU WALILALAMIKIA SHIRIKA LA UMEME TANESCO

WANANCHI mkoani
Simiyu wamelilamikia Shirika la Ugavi Umeme (TANESCO) kwa tabia ya
kukata kata umeme bila taarifa na kuwaweka gizani wateja wake kwa mara kwa mara
hali ambayo inawatia hasara kubwa kwa kuunguza vyombo mbalimbali vinavyotumia
umeme ikiwemo wajasiriamali kushuka kwa vipato vyao.
Licha ya shirika hilo kuahidi mara kadhaa kuondwa tatizo la umeme linaondolewa
tangu mwishoni mwa mwaka jana lakini hali ya katakata umeme na wananchi kulala
gizani na kushindwa kufanya...
Posted by karenyblog
at 11:31 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI BARIADI WAKATAA KUPITISHA TAARIFA YA MAAFA KWA KUDAI NI MWAKA JANA

Baraza la madiwani la halmashauri ya mji wa Bariadi
mkoani Simiyu limeikata taarifa ya maafa katika vijiji mbalimbali
vilivyotokea na kudai kuwa ni ya mwaka jana huku afisa kilimo Issa Mtweve akishindwa
kuorodhesha vijiji vilivyoadhirika na janga la njaa wilayani humo.
Wakiongea ndani ya kikao cha baraza hilo madiwani hao walisema kuwa
vijiji vilivyokuwa vimeorodheshwa katika taarifa hiyo havikuwa sahihi, kutokana
na kuwa vichache kulinganisha...
Posted by karenyblog
at 11:25 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZOEZI LA UNYWAJI UJI KWA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI IHUGI HUENDA LIKASITISHWA KUTOKANA NA WAZAZI KUKOSA FEDHA ZA MICHANGO

ZOEZI la kunywa uji kwa wanafunzi wa shule
ya msingi Ihugi kata ya Lyamidati katika
halmashauri ya wilaya ya Shinyanga huenda likasitishwa kutokana na shule hiyo
kukosa chakula na wazazi kuwa na hali ngumu ya kifedha katika kusaidia
upatikanaji wa unga.
Akiongea na mwandishi
wa habari aliyetembelea shuleni hapo , mwalimu mkuu wa shule hiyo Ayoub Mesoyo alieleza kuwa
shule imefunguliwa lakini zoezi la kupata...
Posted by karenyblog
at 5:21 AM,
1 Comment
Soma zaidi
WAUZAJI TINDIKALI WATAKIWA KUJISAJILI KATIKA OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

JESHI la polisi mkoani Simiyu limewataka wauzaji wa
tindikari mkoani humo kuhakikisha
wanasajiliwa na ofisi ya mkemia mkuu wa serikali, ili kutambulika kisheria
sambamba na kupewa utaratibu wa matumizi sahihi ya bidhaa hiyo kwa lengo la
kuondoa matumizi mabaya ikiwemo kuwadhuru watu.
Mbali na hilo kamanda wa jeshi hilo Charles mkumbo amewatahadharisha
wananchi wote ,kuwa kwa yeyote atakayekutwa na tindikari mtaani, atakamatwa,
ikiwa pamoja na kufikishwa mahakani.
Akiongea...
Posted by karenyblog
at 3:12 AM,
Add Comment
Soma zaidi
JESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATU TISA KWA TUHUMA YA MAUAJI YA WANAWAKE WAWILI WALIOTUHUMIA KUZUIA MVUA ISINYESHE KATIKA KIJIJI CHA MWABULIMBU WILAYANI MASWA

JESHI la polisi mkoani Simiyu
linawashikilia watu tisa wakiwemo wanawake wawili wa kijiji cha Mwabulimbu
wilayani Maswa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya akina mama wawili kuuawa na
kuchomwa moto kwa madai ya kuzuia mvua kunyesha.
Licha ya wanawake hao polisi pia inawashikilia viongozi wakuu wa jeshi la
ulinzi wa jadi "Sungusungu" akiwemo Mtemi na Kamanda wake mkuu kwa
tuhuma za mauji hayo ya kikatili kwa akina mama hao ambao baada ya kushambuliwa
sehemu mbalimbali...
Posted by karenyblog
at 1:54 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI HALMASHAURI MJI WA BARIADI WATAKA AGIZO LA RAIS KUTEKELEZWA HOSPITALI YA WILAYA KUWA YA MKOA

MADIWANI wa Halmshauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu
wamemtaka Mkuu wa Mkoa huo, Paschal Mabiti kutekeleza agizo la Raisi Jakaya
Kikwete alilotoa wakati wa ziara yake mkoani hapa, la kupandisha kiwango
hospitali ya Wilaya ya Bariadi kuwa hospitali ya Mkoa.
Mbali na Mkuu huyo wa Mkoa kutakiwa kuhakikisha
anatekeleza agizo hilo la Rais , madiwani hao walishangazwa na kitendo cha
Kiongozi huyo wakati wa kikao cha ushauri cha Mkoa kilichokaa hivi karibuni
kukataa kutekeleza...
Posted by karenyblog
at 1:42 AM,
Add Comment
Soma zaidi
HUHESO YATOA ELIMU KWA MADREVA MATUMIZI SAHIHI YA CONDOM

SHIRIKA la The Foundation for Human Health Society [HUHESO
FOUNDATION] lenye makao makuu yake mjini Kahama limetoa elimu kwa wanaume
wanaofanya kazi kwenye malori,migodini na madreva wa bodaboda juu ya matumizi
sahihi ya Kondomu.
Mafunzo hayo yalitolewa na Shirika hilo baada ya kubaini
chanzo kikubwa cha wanawake kufanya mapenzi yasiyo salama ni wanaume ambao
wengi wao hufikia nyakati za matamanio kwenye mazingira ya starehe.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle1233249819653570417");
var...
Posted by karenyblog
at 12:50 PM,
Add Comment
Soma zaidi
WADAU WA ELIMU WATAKA MFUMO UBADILISHWE ILI KUWEPO NA ULINGANO KWA WAZAZI

WAMILIKI na mameneja wa shule za msingi,sekodandari na vyuo
binafsi kutoka mikoa nane ya nchini
Tanzania wameitaka serikali kubadilisha
mfumo wa elimu kutokana
na wazazi wanaosomesha watoto
wao kukosa msaada wowote
unaopelekea kutozwa kodi mbalimbali
zenye kiwango kikubwa.
Hayo yalisemwa na mwenyekiti wa Tamongsco Jerrry Nyabululu ...
Posted by karenyblog
at 12:38 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AKUTWA AMEJINYONGA HUKU AKIACHA UJUMBE MZITO

MWALIMU wa shule ya msingi Mwang’osha kata ya
nyamalongo wilaya ya shinyanga mkoani hapa Christipian Mafuru (24)
amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani katika choo
kilichopo nyumbani kwake huku akiacha ujumbe mzito uliotia simanzi.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo Frida Maleko aliwaeleza
waandishi wa habari kuwa marehemu aligundulika akiwa amejinyonga juzi
majira ya saa tisa na nusu alasiri mara baada ya kutoonekana shuleni kwa mda
mrefu.
var...
Posted by karenyblog
at 7:06 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU KUTOKA KWA MAMA MJAMZITO KWENDA KWA MTOTO YAFIKIA ASILIMIA7.3 MKOANI SIMIYU

MKOA Wa Simiyu ni miongoni mwa mikoa sita nchini
ambayo inakabiliwa na maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi kutoka kwa mama
Mjamzito kwenda kwa mtoto na kufikia asilimia 7.3
Hayo yamelezwa na Dkt Hamis Kulemba ambaye ni Mratibu wa kuzuia magonjwa
ya ngono na Ukimwi mkoa wa Simiyu wakati wa sherehe za uzinduzi wa mpango
wa kutokomeza maambukizi mapya ya VVU kwa mtoto kutoka kwa mama mkoani humo
var obj0=document.getElementById("adsmiddle13222539254132649869");
var...
Posted by karenyblog
at 6:58 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZAHANATI YAFUNGWA KWA KUKOSA VIGEZO.

ZAHANATI inayomilikiwa na mtu binafsi katika kijiji cha songambele kata
ya Salawe wilayani Shinyanga imefungwa na wataalamu wa afya
kutoka mkoani hapa kutokana na kukosa vigezo vya kuwa zahanati
babala ya duka
la madawa kama ilivyokusudiwa huku daktari msimamizi wa wakimkataa
kwa kukosa sifa, ambapo ilikuwa ikitoa huduma mbalimbali za
matibabu ...
Posted by karenyblog
at 10:08 PM,
Add Comment
Soma zaidi
HAKIMU AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UENDESHAJI WA KESI KUCHELEWA.

HAKIMU mkazi mwandamizi mfawidhi mkoa wa shinyanga John Chaba ameiomba serikali mkoani
shinyanga kukamilisha ujenzi wa jengo la mahakama kuu kanda ya ziwa
linalojengwa kwa haraka ilikurahisisha uendeshaji wa kesi hali ambayo
itasaidia kesi nyingi kusikilzwa kwa wakati.
Hakimu Chaba alisema hayo kwenye siku ya madhimisho ya
sheria nchi ambapo kimkoa yalifanyika mjini shinyanga katika viwanja vya
mahakama ya hakimu mkazi kuwa mahakimu mkoani...
Posted by karenyblog
at 11:15 PM,
Add Comment
Soma zaidi
WAFUGAJI WILAYANI KISHAPU WATAKIWA KUBADILISHA MFUMO WA UFUGAJI KUTOKANA NA HALI YA HEWA KUWA YA UKAME

.
WAFUGAJI wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wametakiwa kubadilika kufuga mifugo wenye uwezo wa
kuchukua muda mfupi wa kukomaa na kuweza kuingia sokoni, pia kulichukulia kama
zao la biashara kutokana na hali ya hewa
ya ukame katika wilaya hiyo ikiwemo
changamoto ya kukosa maeneo ya malisho pamoja na majosho.
Hayo yalisemwa na waziri wa maendeleo ya mifugo na
uvuvi Titus Kamani katika ziara yake aliyotembelea wilayani humo
huku...
Posted by karenyblog
at 10:48 PM,
Add Comment
Soma zaidi
KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA CHAANZA MAZUNGUMZO NA WAFUGAJI KWENYE VIKUNDII

HATIMAYE kiwanda cha
kusindika nyama cha Triple ‘S’
kilichopo manispaa ya Shinyanga kimeanza
kuingia mkataba kwenye vikundi vidogo vidogo vya wafugaji vilivyopo mkoani hapa kwa lengo la
kuwanyanyua kiuchumi huku kikiwa
kimekwisha pata soko la uuzaji nyama hizo nchi ya Uarabuni.
Hayo yalisemwa na mmiliki wa
kiwanda hicho Salum Seif mbele ya waziri wa maendeleo ya mifugo na
uvuvi Titus Kamani wakati wa ziara yake...
Posted by karenyblog
at 10:35 PM,
Add Comment
Soma zaidi
UVCCM MANISPAA YA SHINYANGA WAIBUKA SHEREHE ZA KUADHIMISHA MIAKA 37 KUSAIDIA WATOTO WALEMAVU

KITUO cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi (albino)
kilichopo Buhangija katika manispaa ya Shinyanga bado kinakabiliwa na upungufu
mkubwa wa chakula, vyandarua,vifaa vya kufanyia usafi pamoja na
upungugufu wa vitanda ambapo kuna watoto 258 huku kukiwa na vitanda 60.
Hali hiyo ya ukosefu wa vitanda imewalazimu kulala kila
kitanda watoto wanne wanne ambavyo pia ni vitanda vya dable deca vinavyofaa
kulaliwa na watoto wawili tu.
Hayo yalibainishwa juzi...
Posted by karenyblog
at 11:01 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MBUNGE JIMBO LA KISHAPU ASAIDIA SHULE NNE ZA MSINGI MAJIKO YA GESI

WANAFUNZI wa shule za msingi nne wilayani Kishapu mkoani
Shinyanga wanakabiliwa na changamoto ya
utumiaji wa nishati ya kuni ambapo Mbunge
wa jimbo hilo kupitia tiketi ya chama
cha mapinduzi CCM Suleiman Nchambi amezindua mradi wa jiko la kupikia kwa kutumia gesi uliogharimu jumla ya shilingi millioni 80.
Kabla ya kupatikana
kwa majiko hayo hivi sasa bado wanaendelea kutumia nishati ya kuni katika
shule...
Posted by karenyblog
at 8:43 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA WATUMISHI MANISPAA WADAIWA KUIHUJUMU KWA KUIBA NYARAKA ZA SIRI

Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...
Posted by karenyblog
at 8:31 AM,
Add Comment
Soma zaidi
AJIRA KWA WATOTO IMEPIGWA MARUFUKU LAKINI IPO KATIKA JAMII,TAZAMA PICHA HAPA
Ajira kwa watoto bado inaendelezwa katika jamii kama unavyoona watoto hao wakiwa katika eneo la kituo cha mabasi cha Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wakisubiri magari ili wauze karanga
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14595775051846236562");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24595775051846236562");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14595775051846236562");
var...
Posted by karenyblog
at 5:36 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AZINDUA BODI YA RUFAA YA MKOA

Mkuu wa mkoa
wa shinyanga Ally Nassoro Rufunga juzi amezindua rasmi bodi ya hospitali ya
rufaa ya mkoa huku akiwataka wajumbe wa bodi hiyo kufanya kazi kwa ufanisi ili
kuboresha mfumo wa uendeshaji wa hospitali ya mkoa wa shinyanga.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle14170636555735674569");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle24170636555735674569");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 4:36 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MCHANGO WA SHILINGI MILLIONI 24 WAKATALIWA NA MADIWANI

MADIWANI wa halmashauri
ya manispaa ya Shinyanga wametaka kuondolewa katika
orodha ya kuchangia fedha kituo maalumu cha kulelea
watoto wenye ulemavu mbalimbali Buhangija ikiwa katika
mchango huo manispaa imelezwa kuchangia kiasi cha shilingi millioni 24.
Hatua ya kukataa
kuchangia imetokana na kituo hicho kulea watoto wanao
toka maeneo tofauti kama vile mkoa wa Geita,Simiyu, Tabora,...
Posted by karenyblog
at 2:42 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI WAKATAA UTOAJI WA SHILINGI MILLIONI 24 KWENYE KITUO CHA KULELEA WATOTO WENYE ULEMAVU

MADIWANI wa halmashauri
ya manispaa ya Shinyanga wametaka kuondolewa katika
orodha ya kuchangia fedha kituo maalumu cha kulelea
watoto wenye ulemavu mbalimbali Buhangija ikiwa katika
mchango huo manispaa imelezwa kuchangia kiasi cha shilingi millioni 24.
Hatua ya kukataa
kuchangia imetokana na kituo hicho kulea watoto wanao
toka maeneo tofauti kama vile mkoa wa Geita,Simiyu,...
Posted by karenyblog
at 2:34 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)