Meneja
wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza
Bw. Felician Ncheye, akiutambulisha ujumbe wa wageni kutoka ofisi ya
msajili wa vyama vya siasa nchini kwa Wenyeviti wa bodi na mameneja wa
redio za jamii nchini waliohudhuria warsha ya siku tano ya kuwajengea
uwezo katika kuboresha masoko kwenye vituo vyao iliyofadhiliwa na
shirika la maendeleo la Sweden (SIDA) na kuratibiwa na UNESCO.
Na Mwandishi Wetu, Sengerema
OFISI
ya Msajili wa...
Home » Archive for September 2014
REDIO ZA JAMII NCHINI KUPIGWA DARASA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA.
Posted by karenyblog
at 3:45 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA WANANCHI PEMBA WAGAWANA NYAMA YA NYANGUMI KWAAJILI YA KITOWEO.

Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.
Wananchi
wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya
Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika
harakati hizo.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle19134509050339682603");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle29134509050339682603");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0)...
Posted by karenyblog
at 11:23 PM,
Add Comment
Soma zaidi
SABABU YA KUFARIKI KWA WATOTO MAPACHA HOSPITALI YA MKOA NESI AWAJIBIKA KWA UTENDAJI MBOVU.

Mamia
ya wakazi wa Shinyanga wakiwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga
usiku huu,nje ya wodi namba 8 ya wazazi wakifurahia waandishi kufika
eneo la tukio,ambapo jioni hii kumetokea sereka la aina yake baada ya
nesi mmoja(Jina tunalo) ambaye amedaiwa kusababisha vifo vya watoto
wawili mapacha,inadaiwa kuwa mama mjamzito kafikishwa hospitalini hapo
kwa ajili ya kujifungua lakini nesi aliyekuwepo alikuwa bize na simu ya
mkononi bila kumjali/kumpatia huduma yoyote pamoja na kuombwa...
Posted by karenyblog
at 9:28 PM,
Add Comment
Soma zaidi
UNESCO YAWAFUA WATENDAJI WA REDIO ZA JAMII NCHINI.
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo katika masuala ya masoko na Tehama kwa mameneja na waandishi wa habari takribani 60 kutoka Redio jamii mbalimbali nchini, yanayoendelea kwenye kituo cha habari na mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza.
Na Mwandishi wetu, Sengerema
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa...
Posted by karenyblog
at 10:30 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MAANDAMANO CHADEMA YAZIMWA GHAFLA,POLISI WATANDA KUANZIA ALFAJIRI
Hivi
ndivyo jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limejipanga kukabiliana na
maandamano yaliyotangazwa na Chadema jana ya kupinga bunge la katiba
ambayo yalitarajiwa kufanyika kuanzia leo saa mbili asubuhi lakini mpaka
sasa hakuna kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza,hata ofisi ya Chadema
imefungwa tangu asubuhi.
FFU wakiwa mtaani kukabiliana na waandamanaji kama watajitokeza leo.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle15746296585477979493");
var...
Posted by karenyblog
at 4:19 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KATIBU WA CCM TAIFA KINANA ASAFISHA SHAMBA LA UMOJA WA VIJANA MJINI KIBAHA ABAINI CHANGAMOTO HOSPITALI YA TUMBI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge wa jimbo la Kibaha mjini Mh. Silvester Koka wakishiriki katika shughuli za usafishaji wa shamba la vijana wa Kibaha mjini lililopo Boko Timiza.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la
Kibaha mjini Mh. Silvestry Koka wakati alipowasili mjini Kibaha
kuendelea na ziara yake ya kukagua shughuli za maendeleo na Utekelezaji
wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Add...
Posted by karenyblog
at 10:20 AM,
Add Comment
Soma zaidi
CHUO KIKUU HURIA KITUO KIPYA CHA SHINYANGA KIMEZINDULIWA,ONGEZEKO LA WADAHILI SERIKALI KUFANYA MIKAKATI.
CHUO kikuu huria huria jana kimezindua kituo kipya na majengo yake ambapo sherehe za uzinduzi huo zilifanyika mjini Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Mhe. Jenista Mhagama ambaye ni naibu waziri wa elimu na ufundi pia mbunge wa jimbo na Peramilo-Songea,na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Shinyanga na Simiyu,katika uzinduzi huo kulikuwepo na wahitimu wa chuo hicho akiwemo mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga...
Posted by karenyblog
at 4:07 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)