MZAZI wa Mgreth Tilu anayesoma shule ya
msingi Bugimbagu darasa la saba iliyopo kata ya Mwawaza
manispaa ya Shinyanga alitolewa darasa na baba yake mzazi
huku akiwa ameshika fimbo mkononi kwa kumtaka arudi nyumbani
kwa lengo la kwenda kumlea mdogo wake.
Mzazi huyo aliyefahamika kwa jina la Tilu Bushi alifanya kitendo hicho
katika shule hiyo wakati muda wa kufanya mtihani wa
mocko ...
Home » Archive for April 2014
MZAZI ATINGA SHULENI NA BAKORA KISA ATAKA BINTI YAKE AKAELEE MTOTO NYUMBANI.

Posted by karenyblog
at 11:43 PM,
Add Comment
Soma zaidi
WAEKEZAJI MANISPAA YA SHINYANGA WALALAMIKIWA.

Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...
Posted by karenyblog
at 11:38 PM,
Add Comment
Soma zaidi
KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA.
Mheshimiwa diwani wa kata ya Chamaguha manispaa ya Shinyanga ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya miundombinu akiwasilisha taarifa ya kamati yake huku akitoa maelezo ya wawekezaji wamekuwa hawatekelezi makubaliano kama mikataba yao inavyoeleza.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle12069913995850476806");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle22069913995850476806");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 9:41 PM,
Add Comment
Soma zaidi
ZAO LA MTAMA LINALODAIWA KUSHAMBULIWA NA NDEGE AINA YA KWELEA KWELEA
Viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu akiwemo mkurugenzi wa halmashauri hiyo wakikagua zao la mtama shambani mara baada ya kuripotiwa kutoka kwa wakulima kuwa linaliwa na ndege aina ya kwelea kwelea.
var obj0=document.getElementById("adsmiddle16078458600553055384");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle26078458600553055384");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 3:09 AM,
Add Comment
Soma zaidi
PSPF YATOA ELIMU KWA WAJASILIAMALI SOKO KUU MANISPAA YA SHINYANGA.

WAJASILIAMALI wenye kipato kidogo manispaa ya Shinyanga wametakiwa kujiunga na mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma ( PSPF) mara
baada ya kutolewa elimu ikiwa imebainika kuwa asilimia kubwa bado hawajajiunga na mfuko huo kwa dhana iliyojengeka kuwa ni kwaajili ya watumishi pekee.
Inatakiwa wajasiliamali waone umuhimu wa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya
jamii hapa nchini na kuweza kunufaika...
Posted by karenyblog
at 2:42 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MWENDESHA DALADALA YA BAISKELI ATUHUMIWA KWA UBAKAJI WA MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI NA KUMTOBOA MACHO

KIJANA Omary Simon (30)
anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Shinyanga kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili (9) anayesoma katika shule ya Msingi Kitangili Manispaa ya
Shinyanga kisha kumtoboa macho kwa kutumia kitu chenye ncha kali na kumuacha porini akisota kwa muda wa siku mbili.
Kwa
mujibu wa maelezo ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Shinyanga Evarist Mangalla alisema tukio hilo lilitokea Aprili 20,
mwaka huu...
Posted by karenyblog
at 2:39 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAZAZI WAHIMIZWA KUONA UMUHIMU WA CHANJO KWA WATOTO

WAZAZI
na walezi wilayani Maswa mkoani Simiyu wamehimizwa kuona umuhimu wa
chanjo kwa kuwapeleka watoto kupata chanzo mbalimbali za
kuzuia maradhi ya kuhara na Nimonia zinazostahili kupatiwa kwa watoto walio
chini ya mwaka mmoja ikiwa zaidi ya watoto 13,000 hawakupatiwa chanjo.
Changamoto mbalimbali katika utekelezaji wa zoezi hilo ambazo ni pamoja na
uelewa mdogo wa jamii kuhusu umuhimu na ukamilishaji wa chanjo zote,watotohao hawakupata au kukamilisha...
Posted by karenyblog
at 6:15 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAZAZI NA WALEZI WANASHINDWA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO.

.BAADHI ya wazazi na walezi
manispaa ya Shinyanga asilimia kubwa wamekuwa hawapendi kuchangia
miradi ya maendeleo mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu hali ambayo
imeonyesha katika shule ya sekondari Mazinge kushindwa kuchangia
huduma ya wanafunzi kupata uji na chakula cha mchana.Ikiwa kila
mwanafunzi inatakiwa achangie kiasi cha shilingi 3000, hivyo Idadi ya
wanafunzi waliotoa michango yao ni 6 pekee kwa shule nzima...
Posted by karenyblog
at 6:12 AM,
Add Comment
Soma zaidi
kIJANA ACHOMWA KISU NA KUFA KISA ATAKA KUMBAKA MSICHANA.

KIJANA mmoja (30) aliyejulikana kwa jina la Stephen
Philbert ameuawa kwa kuchomwa kisu kichwani na mwanamke aliyekuwa
anamfanyia jaribio la kumbaka katika eneo la Ngokolo mjini Shinyanga
usiku wa mkesha wa pasaka.
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SACP Evarist Mangalla
alisema tukio hilo limetokea usiku wa Aprili 20,mwaka huu saa tisa usiku ambapo
Stephen Philbert mkazi wa Ngokolo alichomwa kisu kichwani wakati akitaka
kumbaka mwanamke aitwaye Pili Michael(24).
Akielezea...
Posted by karenyblog
at 6:48 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAZAZI NA WALEZI WALAUMIWA KUWATELEKEZA WATOTO WAO KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO WALEMAVU

WAZAZI na walezi waliopeleka watoto wao katika
kituo maalumu cha kulelea watoto wenye ulemavu
mbalimbali kilichopo Buhangija manispaa ya Shinyanga wameombwa kujenga
desturi ya kuwatembelea watoto hao mara kwa mara na sio kukiachia
kituo pekee hali ambayo inawafanya kukosa haki zao za msingi
kwa kupata malezi bora kama watoto wengine.
Baadhi ya watoto hao tangu waletwe kituoni hapo hakuna
hata...
Posted by karenyblog
at 5:09 AM,
Add Comment
Soma zaidi
SHULE INACHANGAMOTO NYINGI WALIMU WALALA MADARASANI,SHULE HAINA VYOO WALA MADAWATI

SHULE ya msingi Mwamashimba katika kijiji
hicho kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga inakabiliwa na
changamoto ya ukosefu wa vyoo,madawati na nyumba za walimu hali inayosababisha
baadhi ya walimu kuishi kwenye vyumba vya madarasa.
Shule hiyo yenye muonekano tofauti na kuwa hali halisi
ya kuwepo kwa wanafunzi na walimu waandishi wa habari
walitembelea shule hiyo kutaka kufahamu wanafunzi wanapataje...
Posted by karenyblog
at 5:05 AM,
Add Comment
Soma zaidi
TUME YA WATU 18 IMEUNDWA KUCHUNGUZA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

TUME iliyoundwa ya watu kumi na nane na wenyeviti wa
kamati ya ulinzi na usalama wakiwemo mkuu wa mkoa wa shinyanga Ally
Nasoro Rufunga na mkuu wa mkoa wa Tabora Fatuma Mwasa kuwa baini na kuwakamata
watu waliohusika na mauaji ya watu watano katika mapigano ya wakulima na wafugaji
yaliyotokea mpakani mwa mikoa hiyo miwili.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi mkoani Shinyanga Khamis
Mgeja aliyasema hayo kwenye kikao cha ndani cha CCM kilichofanyika
wilayani...
Posted by karenyblog
at 5:00 AM,
Add Comment
Soma zaidi
JAMII IMETAKIWA KUJIOMBEA NA KULIOMBEA TAIFA HASA KIPINDI HIKI CHA MCHAKATO WA KUUNDA KATIBA MPYA.

JAMII mkoani Shinyanga imetakiwa kujiombea na
kuliombea taifa katika mchakato huu wa kuunda katiba mpya kwenye
msimu huu wa kumalizika kwa mateso ya yesu kristo aliyejitoa na
kusulubiwa msalabani kwaajili ya dhambi za wanadamu huku akiwataka
kutenda yaliyo mema duniani.
Hayo yalisemwa jana na mchungaji
peter Msengi wa kanisa la Moravian lililopo
Ngokolo kata ya Ndembezi manispaa ya Shinyanga ...
Posted by karenyblog
at 4:56 AM,
Add Comment
Soma zaidi
JAMII YATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KUBAINI WAHAMIAJI HARAMU.

JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano katika kuwabaini wahamiaji haramu ili waweze kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria za nchi,hatua itakayosaidia kupata viongozi ambao ni wazalendo wenye uchungu na nchi yao badala ya kuchagua mtu bila kujua historia yake matokeo yake uzalendo unakosekana.
Hayo yalibainishwa na Naibu Kamishina wa uhamiaji wilaya ya shinyanga Salumu Farahani katika ofisi za uhamiaji mkoani shinyanga ambapo alisema kuwa kumekuwepo na wimbi la wahamiaji, ambao...
Posted by karenyblog
at 1:35 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZAHANATI YA KIJIJI CHA SINGITA KATA YA USANDA YAKABILIWA NA UHABA WA MAJI,MAABARA NA DAWA.

ZAHANATI ya kijiji cha Singita kata ya Usanda wilaya ya Shinyanga inakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji hali ambayo inayowalazimu mama wanaokwenda kujifungua kununua maji dumu la lita ishirini shilingi mia mbili ikiwemo ukosefu wa maabara.Wakiongea na waandishi wa habari waliotembelea zahanati iliyopo kijijini hapo,walisema kuwa wanapokwenda kujifungua hulazimika kununua maji kwaajili ya kufulia nguo na kuoga jambo ambalo limekuwa ni changamoto kwao...
Posted by karenyblog
at 1:26 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAZIRI MKUCHIKA ASEMA RUSHWA KATIKA HALMASHAURI BADO NI KITENDAWILI

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema rushwa katika halmshauri nchini, bado ni kitendawili, kutokana na kuongezeka kila mara licha ya serikali kupitia Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) kukabiliana nayo.Alisema mbali na mapambano hayo halmashauri nyingi nchini suala la matumizi bora ya fedha za serikali bado halingatiwi, na kusababisha kuongezeka kwa rushwa kwa watumishi wake hasa wakuu wa idara ambao...
Posted by karenyblog
at 1:23 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAUDHI BAADHI YA WANANCHI.

HATUA iliyofikia kwa bunge maalumu la katiba limewafanya baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mwamashimba kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya wajumbe wa bunge hilo kutoa maneno machafu yenye kudhihaki waasisi wa taifa ,wakidai kuwa watu hao wanaokashfu viongozi huenda wana ugonjwa wa kansa ya ubongo.Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari waliotembelea kijiji hicho,wananchi...
Posted by karenyblog
at 1:20 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WANAFUNZI 47 WASHINDWA KURIPOTI KUANZA KIDATO CHA KWANZA.

WANAFUNZI 47 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2013/14 katika shule za sekondari zilizopo manispaa ya Shinyanga hawajaripoti shule na kutojulikana walipo.Hayo yalisemwa na ofisa elimu wa shule ya sekondari manispaa ya Shinyanga Daud Mkumbwa kwenye kikao kilichojumuisha viongozi wa sungusungu kutoka wilaya za manispaa,shinyanga na Kishapu kwaajili ya kujadili ajenda ya utoro mashuleni.Mkubwa alisema kuwa ...
Posted by karenyblog
at 1:15 AM,
Add Comment
Soma zaidi
JELA MIAKA 30 KWA KUKUTWA NA PEMBE ZA NDOVU MBILI

MAHAKAMA ya wialya ya Bariadi Mkoani Simiyu
imemuhukumu Mkazi wa mmoja liyejulikana kwa jina la Maganzo Zelamoshi mkazi wa
kijiji cha Zangho kata ya Mwabali wilayani humo, kifungo cha miaka 30 jela
baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na nyara za serikali bila ya kibali.
Akimsomea shtaka linalomkabili mtuhumiwa kabla ya
hukumu hiyo Mwendesha mashtaka wa TANAPA Eliasi Benjamini, alisema kuwa mnamo
tarehe 21 octoba 2013 mtuhumiwa alikutwa akiwa na pembe 2 za ndovu.
var...
Posted by karenyblog
at 11:24 PM,
Add Comment
Soma zaidi
KUNDI LA TEMBO LAVAMIA MAKAZI YA WATU NA KULA MAZAO YALIYOKUWA MASHAMBANI NA VYAKULA WALIVYOHIFADHI

KUNDI kubwa la Tembo zaidi ya 40 kutoka
katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wamevamia katika makazi ya watu na
kufanya uharibifu mkubwa wa mazao pamoja na vyakula vilivyokuwa vimehifadhiwa
katika kijiji cha Mwachumu kata ya Girya Wilayani Bariadi mkoani Simiyu.
Diwani wa kata ya Girya Safari Lewa alisema kuwa tukio
hilo limetokea juzi majira ya saa 10:00 jioni katika kijiji hicho ambapo tembo hao
waliingia kwenye makazi ya watu na kufanya uharibifu...
Posted by karenyblog
at 11:21 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MASHIRIKA YA UMMA YAPATA HASARA KUBWA KUTOKANA NA KUIBIWA KWA MIUNDOMBINU YAKE

CHANGAMOTO
inayowakumba mashirika ya umma nchini ni kuibiwa kwa miundombinu
mbalimbali ya vifaa vinavyotumika kwenye ujenzi
wa miundombinu mbalimbali
ambapo shirika la umeme (TANESCO) mkoani
Shinyanga limeeleza kupata hasara kiasi cha shilingi millioni 9.5
kwa mwaka 2012 huku shirika la
mawasiliano mkoani Shinyanga (TTCL)
likipata hasara ya zaidi ya shilingi
millioni 108.
Ambapo Shirika la Reli
(TRL) kwa wizi...
Posted by karenyblog
at 7:48 AM,
Add Comment
Soma zaidi
HALMASHAURI YA WILAYA YA BARIADI INAKABILIWA NA ZAIDI YA WANAFUNZI 450 HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA

HALMASHAURI ya wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu,
inakabiliwa na idadi kubwa ya wanafunzi wa shule za msingi wasiojua
kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK), kutokana na uwajibikaji mdogo wa
walimu na kutofundisha kwa vitendo, ikiwemo msongamano mkubwa wa
wanafunzi madarasani.Jumla ya wanafunzi 4999 ikiwa ni asilimia
8.5 ya wanafunzi wote katika wilaya , wasichana wakiwa 2660 asilimia
8.8, na wavuluna wakiwa jumla 2339, ikiwa ni asilimia 8.1, wote hawajui
kusoma,...
Posted by karenyblog
at 7:44 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MWENYEKITI CCM MKOANI SIMIYU ASISITIZA WANANCHI MUUNGANO WA SERIKALI MBILI

MWENYEKITI wa chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani
Simiyu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Busega dkt Titus Kamani
ameendelea kusisitiza muungano wa serikali mbili kwa sababu waasisi wa
wazamani wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Abed Karume walikaa na
kujadili mafanikio ya muungano wa Tanzania na kusisitiza uwepo wa serikali
mbili.
Mbunge huyo ambaye ni waziri wa maendeleo ya uvuvi na mifugo
alisema ni busara za waasisi...
Posted by karenyblog
at 7:31 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MWANAMKE ALIWA FISI SHAMBANI KWAKE AKICHUMA MBOGA

MKAZI mmoja wa kijiji cha Giriku kata ya
Bunamhala wilayani Bariadi mkoani Simiyu aliyefahamika kwa jina la
Nshoma Mawe (29) amepoteza maisha baada ya kuvamiwa na fisi kisha
kun’gata wakati akiwa shambani nyumbani kwake akichuma mboga.
Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda wa jeshi la
polisi mkoani humo Charles Mkumbo aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari ofisini
kwake amesema kuwa tukio hilo
limetokea...
Posted by karenyblog
at 7:28 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KARENY BLOG: ZAHANATI YA KIJIJI CHA BUGANIKA HAINA CHOO, WALA M...

KARENY BLOG: ZAHANATI YA KIJIJI CHA BUGANIKA HAINA CHOO, WALA M...: AKINAMAMA wajawazito wanaokwenda kujifungua katika zahanati ya Buganika wilayani Kishapu mkoani wamekumbwa na changamoto ya kulazimisha k...
var obj0=document.getElementById("adsmiddle15773533655366848486");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle25773533655366848486");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 7:24 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ZAHANATI YA KIJIJI CHA BUGANIKA HAINA CHOO, WALA MAHALI PA KUTUPIA TAKA NGUMU.

AKINAMAMA wajawazito wanaokwenda kujifungua katika zahanati ya Buganika wilayani Kishapu mkoani wamekumbwa na changamoto ya kulazimisha kubeba uchafu wao mara baada ya kujifungua kutokana na kukosekana kwa choo wala eneo la kutupia taka ngumu katika zahanati hiyo.Hali hiyo imeonekana wauguzi kuwalazimisha wajawazito kwenda wakiwa wamebeba mifuko ya rambo kwa ajili ya kubebea makondo ya nyuma na uchafu mwingine baada ya kujifungua jambo ambalo ...
Posted by karenyblog
at 1:56 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA WANANCHI WA KATA ZA NDALA NA MASEKELO MANISPAA YA SHINYANGA WAILALAMIKIA HOSPITAL YA MKOA KUPANDISHA GHARAMA.

BAADHI ya WANANCHI wa kata za Ndala na Masekelo manispaa ya Shinyanga wameilalamikia hospitali ya mkoa wa Shinyanga kupatindisha gharama ya kuchukua cheti cha kuanza matibabu kutoka shilingi 1000 hadi 5000,hali ambayo inasababisha wenye kipato cha chini kushindwa kupata matibabu ikichangiwa kukosekana vituo vya afya na zahanati kwenye maeneo yao.Wakizungumza na waandishi wa habari waliotembelea kata hizo ambazo ziko manispaa ya Shinyanga,walisema...
Posted by karenyblog
at 1:51 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAKAZI WA KIJIJI CHA SANGITA KATA YA USANDA WAKABILIWA NA UHABA WA MAJI

BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Singita kata ya Usanda
halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa huduma
za maji, hali inayowalazimu kwenda kuchota maji mto Shimiwi huku wakihofia afya
zao kukumbwa na magonjwa ya mlipuko pia kuchangia na mifugo.
Hayo yalielezwa na baadhi ya wananchi wakati wakizungumza na
waandishi wa habari waliotembelea kijijini humo,ambapo walisema hakuna visima
vya maji wala mabomba...
Posted by karenyblog
at 1:48 AM,
Add Comment
Soma zaidi
HALMASHAURI WILAYA YA KISHAPU IMEBAINI KAYA 5881 KUKOSA VYOO

HALMASHAURI ya wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga imebaini kaya
5881 kutokuwa na vyoo ikiwa kaya 3335 zimejenga vyoo vya muda hali
ambayo inaonyesha kuwa hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko
hasa ya kuhara na kipindupindu.
Kaya hizo zilibainika wakati wa kampeni inayoendelea ya usafi wa
mazingira na kuihamasisha jamii kuwa na vyoo bora katika kata zote za wilaya
hiyo kwa kutumia sheria ndogo za halmashauri, huku mila na...
Posted by karenyblog
at 1:46 AM,
Add Comment
Soma zaidi
CHANGAMOTO KUBWA INAYOWAKUMBA WATOTO KWEYE KITUO MAAMULU CHA WALEMAVU BUHANGIJA NI UHABA WA VITANDA

CHANGAMOTO kubwa inayowakabili watoto kwenye kituo maalumu cha kulea watoto wenye ulemavu wa aina mbalimbali cha Buhangija manispaa ya Shinyanga, ni upungufu wa vitanda hali inayowalazimu kulala watatu watatu kutokana na kutokidhi mahitaji ambapo vilivyopo ni 156 huku watoto wakiwa 258.Hayo yalielezwa na mwalimu mkuu wa shule ya Buhangija ambaye anasimamia kituo hicho,wakati akipokea msaada wa chakula,sukari na mafuta kutoka kwa mbunge wa viti maalumu(CCM)...
Posted by karenyblog
at 1:43 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UMOJA WA VIJANA CCM (UVCCM) KANDA YA ZIWA WATAKA MUUNDO WA SERIKALI MBILI

UMOJA wa vijana wa
chama cha Mapinduzi kanda ya ziwa (UVCCM)
umewataka watanzania kutokubali muundo wa serikali tatu na kuwaeleza kuwa
iwapo zitakuwepo hizo serikali upatikanaji wa fedha zinazotokana na
ulipaji kodi hazitatosheleza ikiwa jamii bado zinahitaji
huduma bora kwenye afya,elimu na mambo
mengine .
Hayo wameyasema
kwenye matembezi ya mbio za pikipiki ...
Posted by karenyblog
at 1:35 AM,
Add Comment
Soma zaidi
WAKULIMA WALIA NA NDEGE WAITWAO KWELEA KWELEA KWA KULA MAZAO YAKIWA SHAMBANI

WAKULIMA kata ya Usanda wilaya ya Shinyanga wameiomba serikali kuchukuwa hatua za haraka kuangamiza ndege waharibifu wa mazao kwelea kwelea ili kunusuru mazao yao kumalizwa na kuwepo tishio la kukumbwa na njaa pamoja na watoto kushindwa kuhudhuria masomo kwa kulinda ndege.Wakiongea na waandishi wa habari waliotembelea kata hiyo,walisema mazao yao yanaliwa na ndege hao ukiwemo mpunga,mtama na uwele na kwamba wanahofia kukosa chakula kutokana na kushambulia...
Posted by karenyblog
at 1:33 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KARENY BLOG: ajinyonga

KARENY BLOG: ajinyonga: MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la Shija Mfuko (60) mkazi wa kijiji cha Zobogo kata ya Itwangi tarafa ya Itwangi wilaya ya Shinyanga a...
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18647778666128806007");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle28647778666128806007");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle18647778666128806007");
var...
Posted by karenyblog
at 2:32 AM,
Add Comment
Soma zaidi

var obj0=document.getElementById("adsmiddle16548299819493183789");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle26548299819493183789");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle16548299819493183789");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle26548299819493183789");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0...
Posted by karenyblog
at 2:30 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KARENY BLOG: ajinyonga

KARENY BLOG: ajinyonga: MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la Shija Mfuko (60) mkazi wa kijiji cha Zobogo kata ya Itwangi tarafa ya Itwangi wilaya ya Shinyanga a...
var obj0=document.getElementById("adsmiddle17104223415179314084");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle27104223415179314084");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var obj0=document.getElementById("adsmiddle17104223415179314084");
var...
Posted by karenyblog
at 2:27 AM,
Add Comment
Soma zaidi
KARENY BLOG: KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA ELIMU ...

KARENY BLOG: KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA ELIMU ...: KITUO cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC) kimetoa elimu ya Rasmu ya pili ya katiba kwa wananchi wa kata ya kitangili mjini s...
var obj0=document.getElementById("adsmiddle11286985136940176894");
var obj1=document.getElementById("adsmiddle21286985136940176894");
var s=obj1.innerHTML;
var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm);
if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);}
var...
Posted by karenyblog
at 2:13 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)