Habari za hivi Punde

WATU WATATU WAMEFARIKI DUNIA KATIKA MAPIGANO KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYA ZA KISHAPU NA IGUNGA

WATU WATATU WAMEFARIKI DUNIA KATIKA MAPIGANO KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYA ZA KISHAPU NA IGUNGA
WATU watatu ambao majina yao hawajafahamika  wamefariki dunia huku  mfugaji  Gilijisiji Gilawida ambaye alichomwa mkuki na kumjeruhi  vibaya  sehemu za mwili wake  katika mapigano ya wakulima na wafugaji  huko katika kijiji cha  Isakamaliwa  kilichopo mpakani mwa mkoa wa Shinyanga  na Tabora  ambapo mapigano hayo  yalisababishwa na  kugombea  mipaka ya malisho. Hata hivyo kwa upande wa kata ya Magalata ...

KARENY BLOG: CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KW...

KARENY BLOG: CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KW...
KARENY BLOG: CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KW...: CHANGAMOTO ya kuozesha wanafunzi wa kike mara wanapohitimu darasa la saba   huku wavulana wakiendelea kutumikishwa na shughuli za uchungaji... var obj0=document.getElementById("adsmiddle18823889427581792587"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle28823889427581792587"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

KITUO CHA AFYA IKONONGO CHAKABILIWA NA UHABA WA MAJI,NISHATI YA UMEME

KITUO CHA AFYA IKONONGO CHAKABILIWA NA UHABA WA MAJI,NISHATI YA UMEME
KITUO  cha afya cha Ikonongo kilichopo kata ya Salawe  wilayani Shinyanga  kinakabiliwa na changamoto mbalimbali  ikiwemo ukosefu  wa huduma ya maji na  nishati ya umeme hali ambayo inawalazimu  mama wajawazito kutumia tochi  ya simu au taa wakati wa kujifunga huku watoto wanaougua kuchanganywa na wakubwa. Baadhi ya wananchi wa kata hiyo  walimueleza mwandishi wa habari  kuwa  kumekuwapepo na tatizo la kupata huduma iliyobora...

KARENY BLOG: CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KW...

KARENY BLOG: CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KW...
KARENY BLOG: CHANGAMOTO YA KURIPOTI KWA WANAFUNZI KIDATO CHA KW...: CHANGAMOTO ya kuozesha wanafunzi wa kike mara wanapohitimu darasa la saba   huku wavulana wakiendelea kutumikishwa na shughuli za uchungaji... var obj0=document.getElementById("adsmiddle17132563661394107023"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle27132563661394107023"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

WAFANYABIASHARA WALALAMIKIWA KUWA CHANZO CHA UCHAFU WA MITARO NA MAKALVAT

WAFANYABIASHARA  WALALAMIKIWA KUWA CHANZO CHA UCHAFU WA MITARO NA MAKALVAT
WAFANYABIASHARA   mkoani  Shinyanga wamelalamikiwa kuwa chanzo cha kuchafua mitaro na  makalvati  ikiwemo mama lishe  kumwaga maji machafu   hali ambayo imesababisha mitaro hiyo kuziba  na kufanya   wakala wa barabara  tanroad  kuingia  gharama  kubwa ya kuzibua na  kuisafisha . Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake  meneja wa  Tanroad mkoa wa Shinyanga  Philip Witonde ...

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA ELIMU YA RASMU YA PILI YA KATIBA.

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA ELIMU YA RASMU YA PILI YA KATIBA.
KITUO cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC)  kimetoa elimu ya Rasmu ya pili ya  katiba  kwa wananchi wa kata ya kitangili mjini shinyanga ili wananchi hao wapate kuelewa pamoja na kujitokeza kupiga kura pale Rasmu hiyo itakapo rudishwa mikononi mwa watanzania kama imekidhi vigezo na maoni waliyoyapendekeza Akitoa elimu kwa wakazi hao kwenye mkutano wa hadhara mwanasheria wa Kituo hicho Jonsoni John alisema kuwa lengo la kutoa elimu  ya Rasmu ya pili...

KARENY BLOG: HAKIMU AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UEN...

KARENY BLOG: HAKIMU  AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UEN...
KARENY BLOG: HAKIMU AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UEN...: HAKIMU mkazi mwandamizi mfawidhi mkoa wa shinyanga John  Chaba ameiomba serikali  mkoani  shinyanga kukamilisha ujenzi wa jengo l... var obj0=document.getElementById("adsmiddle11421367748158108707"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle21421367748158108707"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

TIMU YA STENDI UNITED NA POLISI MARA ZALETA KIZAA ZAA UWANJA WA KAMBARAGE MKOANI SHINYANGA

TIMU YA STENDI UNITED NA POLISI MARA ZALETA KIZAA ZAA UWANJA WA KAMBARAGE MKOANI SHINYANGA
BAADHI ya  mashabiki  wa timu  ya mpira wa miguu manispaa ya shinyanga akiwemo naibu waziri wa nishati na madini Steven Masele kunusurika  na wengine  kujeruhiwa vibaya  sehemu mbalimbali za miili yao kutokana na  vurugu zilizozuka  ndani ya uwanja wa Kambarage  ambapo jeshi la polisi lilianza kurusha mabomu ya machozi . Mabomu hayo yaliweza kuleta madhara kwa mashabiki  ambapo  mama mwenye ujauzito wa miezi nane aliyefahamika kwa...

KARENY BLOG: HAKIMU AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UEN...

KARENY BLOG: HAKIMU  AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UEN...
KARENY BLOG: HAKIMU AELEZA UFINYU WA MAHAKAMA UNASABABISHA UEN...: HAKIMU mkazi mwandamizi mfawidhi mkoa wa shinyanga John  Chaba ameiomba serikali  mkoani  shinyanga kukamilisha ujenzi wa jengo l... var obj0=document.getElementById("adsmiddle11710809282354180104"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle21710809282354180104"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

KUMOMONYOKA KWA MAADILI KUMEFANYA VITENDO VYA RUSHWA KUSHAMIRI NA KUCHAKACHUA MIRADI

KUMOMONYOKA KWA MAADILI KUMEFANYA VITENDO VYA RUSHWA KUSHAMIRI NA KUCHAKACHUA MIRADI
 KUMOMONYOKA  kwa maadili kwa baadhi ya watumishi wa  umma ni moja ya sababu zinazochangia kukithiri kwa vitendo  vya rushwa na kuchangia kuongezeka uchakachuaji wa miradi ya  maendeleo, unaofanywa na wakandarasi kwa kushirikiana na  wataalamu nakuwataka wanaofanya vitendo hivyo kujitathimini  wenyewe  kuachia ngazi zao kabla ya kuwajibishwa.   Hayo yalielezwa jana na kamanda wa taasisi ya kuzuia na kupambana na  rushwa (TAKUKURU )mkoa...

UKOSEFU WA MITANDAO YA MAJI SAFI NA SALAMA HUFANYA BAADHI YA MAENEO KUKOSA MAJI.

UKOSEFU WA MITANDAO YA MAJI SAFI NA SALAMA HUFANYA  BAADHI YA MAENEO KUKOSA MAJI.
UKOSEFU  wa mitandao ya maji safi na salama katika baadhi ya maeneo ya Shinyanga mjini ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoikabili Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (SHUWASA )  hali ambayo inasababisha baadhi ya maeneo kukosa huduma muhimu ya maji.  Hayo yamebainishwa na mkurugenzi mtendaji wa SHUWASA injinia Silvester Mahole wakati akisoma taarifa kwa mgeni rasmi ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Annarose Nyamubi kwenye uzinduzi wa mradi...

KARENY BLOG: MTOTO ALIYECHINJWA NA BABA YAKE NA KUTOKWA DAMU NY...

KARENY BLOG: MTOTO ALIYECHINJWA NA BABA YAKE NA KUTOKWA DAMU NY...
KARENY BLOG: MTOTO ALIYECHINJWA NA BABA YAKE NA KUTOKWA DAMU NY...: MTOTO   Said Joshua (12) aliyekatwa koromeo  kwa kutumia kisu na baba yake mzazi huko wilayani Kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia waka... var obj0=document.getElementById("adsmiddle13208037372902568664"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle23208037372902568664"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AZINDUA MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA BUBINZA.

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AZINDUA MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA BUBINZA.
SERIKALI mkoani Shinyanga imezindua  mradi wa maji katika kijiji cha Bubinza kata ya mwamashele wilayani Kishapu  ambao utaondoa changamoto  kwa wananchi wa kijiji hicho ambapo walikuwa wanakabiliwa na changamoto mbalimbali yakiwemo magonjwa ya mlipuko  kutokana na kutumia maji yasiyo salama. Akizindua mradi huo  mkuu  wa mkoa  Ally  Rufunga alisema lengo la serikali hapa nchini hadi kufikia 2025 ni kuhakikisha vijiji vyote vinaondokana ...

JESHI LA JADI LAPEWA DHAMANA YA KUSIMAMIA MICHANGO YA MRADI WA MAJI

JESHI LA JADI LAPEWA DHAMANA YA KUSIMAMIA MICHANGO YA MRADI WA MAJI
WANANCHI  wa vijiji viwili  vya Mwamalili na Seseko kata ya mwamalili wilayani Shinyanga  wamekabidhiwa  kwa Jeshi la jadi sungusungu ilikukamilisha michango ya mradi wa maji utakao sambaza maji safi na salama katika vijiji hivyo  ambao unatoka ziwa Victoria kupitia tenki la maji (Shuwasa) . Akilikabidhi Jeshi hilo la jadi kwa wanakijiji hao  mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga wakati akizindua mradi wa maji safi na salama katika vijiji hivyo...

KARENY BLOG: UONGOZI WAAGIZWA KUUNDA KAMATI MAALUMU YA KUTEMBE...

KARENY BLOG: UONGOZI WAAGIZWA KUUNDA KAMATI  MAALUMU YA KUTEMBE...
KARENY BLOG: UONGOZI WAAGIZWA KUUNDA KAMATI MAALUMU YA KUTEMBE...:   Na  Kareny  Masasy Simiyu.   UONGOZI  mkoani  Simiyu umeagizwa kuunda kamati maalumu itakayotembea halmashauri zote mkoani hapa... var obj0=document.getElementById("adsmiddle15890881092269960620"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle25890881092269960620"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

SERIKALI IMEANZA KUTEKELEZA KUONDOA KERO YA MAJI WILAYANI KISHAPU

SERIKALI IMEANZA KUTEKELEZA  KUONDOA KERO YA MAJI WILAYANI KISHAPU
WAKAZI wa  wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameanza kutekelezewa  na serikali  tatizo  la ukosefu wa maji  la muda mrefu  kwa kuanza na usanifu wa njia za upatikanaji wa maji  safi na salama  kutoka ziwa victoria  kama maeneo mengine ndani ya mkoa huu yanavyopata maji. Hayo yalisemwa na waziri  wa maji  Jumanne Maghembe kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya mji mdogo wa maganzo uliohudhuriwa na  baadhi...

KARENY BLOG: UONGOZI WAAGIZWA KUUNDA KAMATI MAALUMU YA KUTEMBE...

KARENY BLOG: UONGOZI WAAGIZWA KUUNDA KAMATI  MAALUMU YA KUTEMBE...
KARENY BLOG: UONGOZI WAAGIZWA KUUNDA KAMATI MAALUMU YA KUTEMBE...:   Na  Kareny  Masasy Simiyu.   UONGOZI  mkoani  Simiyu umeagizwa kuunda kamati maalumu itakayotembea halmashauri zote mkoani hapa... var obj0=document.getElementById("adsmiddle1521308250511750952"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle2521308250511750952"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

MTOTO ALIYECHINJWA NA BABA YAKE NA KUTOKWA DAMU NYINGI SASA AFARIKI DUNIA

MTOTO ALIYECHINJWA NA BABA YAKE NA KUTOKWA DAMU NYINGI SASA AFARIKI DUNIA
MTOTO   Said Joshua (12) aliyekatwa koromeo  kwa kutumia kisu na baba yake mzazi huko wilayani Kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza.   Mtoto huyo ambaye alichinjwa na baba yake aitwaye Joshua Salvatory (37),fundi baiskeli akiwa nyumbani kwake usiku wa kuamkia tarehe 4 mwezi huu katika kitongoji cha Majengo Kaskazini,kata ya Majengo,tarafa ya Kahama mjini  mkoani Shinyanga amefariki...

KARENY BLOG: MTOTO ANUSURIKA KUCHINJWA NA BABA YAKE MZAZI KISA ...

KARENY BLOG: MTOTO ANUSURIKA KUCHINJWA NA BABA YAKE MZAZI KISA ...
KARENY BLOG: MTOTO ANUSURIKA KUCHINJWA NA BABA YAKE MZAZI KISA ...: MWANAFUNZI  wa darasa la tatu katika shule ya msingi Majengo wilayani Kahama mkoani Shinyanga Said Joshua (12) amenusurika kufa baada y... var obj0=document.getElementById("adsmiddle15477424177851000677"); var obj1=document.getElementById("adsmiddle25477424177851000677"); var s=obj1.innerHTML; var r=s.search(/\x3C!-- adsense --\x3E/igm); if(r>0) {obj0.innerHTML=s.substr(0,r);obj1.innerHTML=s.substr(r+16);} var...

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YAWAHUKUMU WATU WAWILI KIFUNGO CHA ZAIDI YA MIAKA 100

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YAWAHUKUMU WATU WAWILI KIFUNGO CHA ZAIDI YA MIAKA 100
MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga imewahukumu wakazi wawili wa kijiji cha  Shatimba wilaya ya shinyanga  mkoani hapa  kwenda jela  kwa miaka  242 baada ya kupatikana na makosa matatu ambayo ni  ubakaji , wizi wa kutumia silaha na kujeruhi.Waliohukumiwa ni Mathias Kaloga (40) Jamesi Moshi (35) wote wakiwa wakazi wa kijiji hicho  na kutenda  makosa hayo October 10, 2012.ambapo walivamia nyumbani kwa malamikaji wa kwanza Tesha Jidomela...

WAZEE KUPATIWA VITAMBULISHO VYA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI BURE

WAZEE KUPATIWA VITAMBULISHO VYA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI BURE
HALMASHAURI ya wilaya ya shinyanga  kwa kushirikiana na shirika lisilo lakiSerikali  la Tawlae  linalotetea haki za wazee mkoani Shinyanga  imeandaa mkakati madhubuti wa kutengeneza vitambulisho ambavyo watapatiwa wazee wasiojiweza  huduma bure za kijamii ikiwemo ya matibabu. Akizungumza mjini shinyanga kwenye kikao cha kufanya tathimini na maboresho ya mkakati  wa kuwasaidia wazee kupata huduma hizo bure, mkurugenzi wa Halmashauli hiyo Mohamedi Kiyungi...

WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO ZAIDI HUPATA UPUNGUFU WA DAMU NA MALARIA

WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO ZAIDI HUPATA UPUNGUFU WA DAMU NA  MALARIA
CHANGAMOTO kubwa inayowakumba  watoto waliochini ya umri wa miaka mitano  kiafya ni upungufu wa damu na ugonjwa wa malaria  hali ambayo inapekekea kuleta msongamano wa wagonjwa katika kituo cha afya kilichopo kata ya Iselamagazi tarafa ya Nindo wilayani Shinyanga.Akiongea na waandishi wa habari waliokuwa wametembelea  katika kituo hicho mganga mkuu wa  Dkt Heleni Kaunda  aliwaeleza kuwa msongamano wa wagonjwa pia unaletwa kwa kuhudumia  wagonjwa...

CHANGAMOTO KWA WATOTO WENYE VVU NA WENYE KUISHI MAZINGIRA HATARISHI

CHANGAMOTO KWA WATOTO WENYE VVU NA WENYE KUISHI MAZINGIRA HATARISHI
CHANGAMOTO  kubwa inayowakabili watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi  pamoja na wale wenye kuishi na maambukizi ya virusi vya  ukimwi ni  kwa ukosefu wa mahitaji muhimu wanaopaswa kuyapata kama watoto wengine , lishe duni , pia  walezi au wazazi kutokuwa na kipato huku wengine wakiwatelekeza kwa makusudi. Hayo yalisemwa na mwalimu  Johari  Salum wa kituo cha kulelea watoto  hao cha (ECD) chini ya ufadhili wa shirika la Lara Foundation International...

VIONGOZI WA VIJIJI WILAYANI KISHAPU WAAGIZWA KUSIMAMAIA MAZINGIRA IKIWEMO UFUGAJI WA NYUKI KATIKA MISITU.

VIONGOZI WA VIJIJI  WILAYANI KISHAPU WAAGIZWA KUSIMAMAIA MAZINGIRA IKIWEMO UFUGAJI WA NYUKI KATIKA MISITU.
VIONGOZI  wa vijiji wote wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga wameagizwa kuhakikisha wanasimamia mazingira ipasavyo, na wahakikishe miti  haikatwi kiholela ili kuimarisha ufugaji wa nyuki katika misitu hiyo.  Agizo hilo limetolewa jana na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Willison Nkhambaku wakati wa uzinduzi wa mizinga ya nyuki uliofanyika katika kijiji cha Nyasamba kata ya Bubiki wilayani humo ambapo alisema atakaebainika anakata ovyo achukuliwe hatua kali za kisheria. var...

MTOTO ANUSURIKA KUCHINJWA NA BABA YAKE MZAZI KISA KUCHOKA KUMTIBU MARADHI YANAYOMSUMBUA.

MTOTO ANUSURIKA KUCHINJWA NA BABA YAKE MZAZI KISA KUCHOKA KUMTIBU MARADHI YANAYOMSUMBUA.
MWANAFUNZI  wa darasa la tatu katika shule ya msingi Majengo wilayani Kahama mkoani Shinyanga Said Joshua (12) amenusurika kufa baada ya kutaka  kuchinjwa kwa kutumia kisu na baba yake mzazi kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kumtibu kwa   maradhi yaliyokuwa yakimsumbua. Tukio hilo limetokea jana saa 11 alfajiri katika kijiji cha Majengo ,kata ya Majengo,tarafa ya Kahama mjini ambapo mwanamme aitwaye Joshua Salvatory(37) mkazi wa Majengo,fundi baiskeli akiwa nyumbani...

IDARA YA UHAMIAJI MKOANI SHINYANGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI.

IDARA YA UHAMIAJI MKOANI SHINYANGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI.
IDARA ya uhamiaji mkoani Shinyanga  inakabiliwa changamoto wa vitendea kazi kwa kukosa  magari ya kutosha ,kutokuwa na sare maalumu zinazoendana na mazingira ambazo zinaweza kuhimili mazingira ya kikazi na hivyo kushindwa kufanya kazi yao ipasavyo ya kudhibiti wahamiaji haramu wanaoingi   Hayo yalibainishwa  na mtumishi wa Idara ya uhamiaji mkoani humo Herieti Mayunga wakati akisoma Risala  kwa mgeni Rasmi katika sherehe ya kuuaga mwaka 2013 na kuukalibisha...

MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO YAPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 5.6 MKOANI SHINYANGA

MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO YAPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 5.6 MKOANI SHINYANGA
WANANCHI  mkoani  shinyanga  wametakiwa kuondokana na  unyanyapaa kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi  ikiwemo mama wajawazito kuhudhuria  katika kliniki  kwa  kupima afya zao na  kuondoa maambukizi ya  mama kwenda kwa mtoto ambapo kiwango mpaka sasa kimefikia asilimia 5.6. Hayo  yalisemwa na  mkuu wa wilaya ya Shinyanga Annarose Nyamubi kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga  kwenye uzinduzi wa  kampeni...
KARENY. Powered by Blogger.