Habari za hivi Punde

DIWANI AKIHOJI TAKWIMU ZA ALMASI INAYOZALISHWA MGODI WA MWADUI KISHAPU.

Diwani wa kata  ya  Mwaduiluhumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga   ni mmoja aliyehoji  kuhusu wawekezaji mgodi wa Almasi mwdui kushindwa kutoa takwimu sahihi katika halmashauri jambo ambalo linazua utata.
KARENY. Powered by Blogger.