Habari za hivi Punde

HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI MOROGORO YATEMBELEWA NA WASHIRIKI WA KUWANIA TAJI LA MISS TANZANIA.

Warembo 30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na Simba.
 Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.
Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti.
 Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiongozwa na Matron wao, Gladness Chuwa mbugani Mikumi.

Warembo wakipiga picha na watalii waliowakuta Mikumi.


 Punda milia nao walionekana kwa wingi.
 Wakisikiliza maelezo juu ya Viboko kutoka kwa Benina Mwananzila.
 Warembo wakipata maelezo katika kituo cha Mbuyu
 Muongoza watalii Ibrahim Kassim akitoa maelezo kwa washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2014.
 Mrembo akitazamana na ngedere
 Warembo wakitembelea lodge ya Hifadhi hiyo ya Mikumi.
 Tembo nao walikuwepo.

0 Response to "HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI MOROGORO YATEMBELEWA NA WASHIRIKI WA KUWANIA TAJI LA MISS TANZANIA."

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.