Habari za hivi Punde

WAZEE MKOANI SHINYANGA WAOMBA MIKOPO YENYE MASHART NAFUU

WAZEE MKOANI SHINYANGA WAOMBA MIKOPO YENYE MASHART NAFUUWAZEE mkoani Shinyanga  wameiomba serikali kuwapatia mikopo  yenye mashart nafuu ili waweze kujinyanyua kiuchumi  kutokana na kuishi maisha yenye umasikini uliokithiri nakuwa tegemezi katika familia.

Wazee hao  waliyasema hayo  katika kikao cha kuhamasisha vyombo vya habari kuhusu masuala ya wazee  kwa waandishi wa habari kilichoandaliwa na taasisi  isiyo ya kiserikali inayoongozwa na wanawake wenye taaluma ya kilimo na mazingira  (Tawlae)  inayojishughulisha na masuala ya wazee.
KARENY. Powered by Blogger.