WAHITIMU wa
chuokikuu huria tawi la Shinyanga ambao
baadhiniwatumishi wa umma wametakiwa kuitumia elimu
walioipata kwa kuondoa changamoto zilizopo kwenye jamii na kunyanyua uchumi.
Hayo
yalisemwa jananaafisa elimumsingi manispaa ya ShinyangaPaul
Magubikialiyekuwa mgeni rasmi katika
mahafari ya tanokwa tawi hilo
lililojumuisha wahitimu 126 kwa ngazi mbalimbali.