Habari za hivi Punde

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALLY RUFUNGA AKIWA KATIKA VIWANJA VYA SHY-COM AKITEMBELEA MABANDA YA WADAU WA AFYA MKOANI HUMO.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ally Rufunga  akiwa na mganga mkuu wa mkoa  Ntuli Kapologwe katika viwanja vya shy-com mara baada ya kuwa amewasili katika uzinduzi wa  mpango wa uzazi huku kauli mbiu fuata nyota ya kijana ili upate mafanikio.


Mkuu wa mkoa  wa Shinyanga akiwasili katika banda la redcross kwa lengo la kupata maelezo namna wanavyo hamasisha jamii ili waweze kutoa damu.


Wadau wa afya wakijiandaa kutoa maelezo baada ya kumuona mkuu wa mkoa karibu yao ambaye hayupo pichani kwa lengo la kutoa maelezo namna wanavyo wajibika.

KARENY. Powered by Blogger.