Habari za hivi Punde

KIJANA WA KIMASAI AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA KWA KUKUTWA NA NGOZI YA CHUI.

 Kijana  wa kabila la kimasai,Baraka Saico   amehukumiwa  kifungo cha miaka 4 jela kwa kupatikana na hatia katika kesi ya kuhujumu uchumi  mara baada ya kukutwa na ngozi ya chui katika stendi ya daladala  za hiace ziendazo  Kange, hukumu hiyo imetolewa hivi karibuni  na hakimu,Maira Kasonde mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tanga.
KARENY. Powered by Blogger.