Habari za hivi Punde

BIBI AJITOLEA MCHELE KILO 100 KWENYE KLABU YA COASTAL UNION MKOANI TANGA


Mwanachama mkongwe wa klabu ya Coastal Union mariam Jabir aliyehudhulia mkutano mkuu akiahidi kutoa mchele kilo 100 sehemu ya mchango wake mara wachezaji watakapo rejea kambini kwa mtanange.Ambapo amejiunga kuwa mwanachama wa klabu hiyo tangu mwaka 1980


Ni baadhi ya wanachama wa klabu ya Coastal Union pichani wakimsikiliza mwenyekiti wao,Aurora akitoa maelekezi juu ya wanachama wapya wanaohitaji kujiunga kwa mujibu wa katiba,ambaye hayuko pichani..
Aliyesisima wa kwanza mkono wa kushoto ni mhasibu wa klabu ya Coastal Union,Kakere akiwasilisha taarifa ya mapato na matumizi kwa wanachama.
Mhasibu wa klabu ya Coastal Union,Kakere akisoma taarifa ya mapato na matumizi kwa wanachama ambao hawako pichani.
KARENY. Powered by Blogger.