Habari za hivi Punde

MKUU WA WILAYA YA TANGA APONGWEZWA NA CHAMA CHA MPIRA WILAYANI HUMO

 

Katibu msaidizi wa chama cha soka wilaya ya Tanga,Salim Carlos akizungumzia mafanikio yaliyofikiwa na chama hicho ikiwemo mkakati wao wa kusaka wadhamini kutoa sapoti kwa vilabu vya soka ambapo amesema limeanza kutekelezwa na kutoa shukurani kwa mkuu wa wilaya hiyo Halima Dendego ambaye ni mdhamini wa kwanza kujitokeza  katika chama hicho na kutoa msaada.
KARENY. Powered by Blogger.