Habari za hivi Punde

MASHINDANO YA GALLAWA CUP TANGA ,BENK YA NMB YATOA VIFAA VYA MICHEZO.

Mkono wa kushoto mwanamke  ni afisa michezo wa mkoa wa Tanga,Digna Tesha mara baada ya makabidhiano akitoa ufafanuzi juu ya uendeshaji wa mashindano ya Gallawa Cup 2014.
Jezi mbalimnali zikitayarishwa tayari  na watumishi wa benki ya NMB  tayari kwa  kutoa msaada huo katika michezo

  Mkuu wa mkoa wa Tanga,Chiku Gallawa,mkono wake wa kulia ni meneja wa benk ya NMB madaraka Tanga,Juma Mpimbi mkono wa kushoto ni meneja masoko wa benk hiyo,Geofrey Mzola mara baada ya makabidhiano ya vifaa vya michezo kwa ajili ya timu shiriki mashindano ya Gallawa Cup 2014,  
KARENY. Powered by Blogger.