Habari za hivi Punde

ANGALIA PICHA-WAANDISHI WA HABARI WA SHINYANGA NA SIMIYU WAPEWA MAFUNZO KUEPUKA MIGOGORO KATIKA HABARI ZAO

Ndani ya kumbi wa Mwalimu House mjini Shinyanga-Pichani ni mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (SPC)Shija Felician akifungua mafunzo ya siku 4 kwa waandishi wa habari 25 kutoka mkoa wa Shinyanga na Simiyu yanayohusu Namna ya kuripoti habari katika mazingira hatarishi.Mafunzo hayo yaliyoanza leo Jumatatu yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT)

Waandishi wa habari wakiwa ndani ya ukumbi wa Mwalimu House mjini Shinyanga wakifuatilia mafunzo kuhusu namna na kuandika habari katika mazingira hatarishi pamoja na kuandika habari kwa kufuata maadili ya uandishi wa habari ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka kwa kila upande
Wa kwanza kushoto ni katibu wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(SPC) bi Kareny Masasy kulia kwake ni ndugu Kadama Malunde mkurugenzi wa Malunde1 blog 
 
Kushoto ni mwezeshaji wa mafunzo hayo bwana Paul Malimbo ambaye ni afisa miradi kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT) akiwa na mwenyekiti na katibu wa SPC
Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini


Waandishi wa habari wakongwe mkoani Shinyanga wakisikiliza kilichokuwa kinajiri wakati wa mafunzo hayo

Semina inaendelea

Washiriki wa mafunzo hayo ya siku 4 wakijadiliana katika makundi

Mijadala inaendelea

Kazi katika makundi zinaendelea

Kazi katika makundi inaendelea
 
 Katibu wa SPC Kareny Masasy akijibu maswali yaliyoulizwa katika kundi lake
Makamu mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga ndugu Greyson  Kakuru akichangia mawili matatu wakati wa semina hiyo leo

 Semina inaendelea

0 Response to "ANGALIA PICHA-WAANDISHI WA HABARI WA SHINYANGA NA SIMIYU WAPEWA MAFUNZO KUEPUKA MIGOGORO KATIKA HABARI ZAO"

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.