Habari za hivi Punde

AJALI MBAYA BASI LA AIRLINE LAUA WATANO HUKO MKOANI MOROGORO

AIRLINE BUS limepata ajali na kuua watu watano huku waliojeruhiwa bado idadi yao haijafahamika.

Habari kutoka mkoani Morogoro zinasema kuwa watu watano wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa asubuhi ya leo baada ya basi la Airline likitoka Dar es salaam kwenda Tabora kupinduka.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kilosa mkoani  Morogoro,na kwamba chanzo cha ajali bado hakijajula

0 Response to "AJALI MBAYA BASI LA AIRLINE LAUA WATANO HUKO MKOANI MOROGORO"

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.