Habari za hivi Punde

MAANDAMANO CHADEMA YAZIMWA GHAFLA,POLISI WATANDA KUANZIA ALFAJIRIHivi ndivyo jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limejipanga kukabiliana na maandamano yaliyotangazwa na Chadema jana ya kupinga bunge la katiba ambayo yalitarajiwa kufanyika kuanzia leo saa mbili asubuhi lakini mpaka sasa hakuna kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza,hata ofisi ya Chadema imefungwa tangu asubuhi.
 FFU wakiwa mtaani kukabiliana na waandamanaji kama watajitokeza leo.
KARENY. Powered by Blogger.