Habari za hivi Punde

MBOWE ARUDIA TENA KITI CHAKE CHA UENYEKITI TAIFA CHADEMA KWA ASILIMIA 97.3.

UCHAGUZI  CHADEMA, Aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa Freeman Mbowe amejikuta tena baada ya misukosuko aliyoipata kupitia baadhi ya wanachama wake kumpinga kuwa muda umeisha kugombea kiti hicho kwa mujibu wa katiba ,hivyo aliweza kugombea nafasi hiyo tena na kushinda kwa kupata kura 789 sawa na asilimia 97.3.
Katibu wa chama hicho taifa Dkt Wilbroad Slaa akitoa neno kabla ya uchaguzi kufanyika.
Mgeni mwalikwa ambaye ni mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF  Pr  Ibrahimu  Lipumba.
Mgeni mwalikwa  ambaye ni mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi  James Mbatia.

KARENY. Powered by Blogger.