Habari za hivi Punde

CHADEMA MANZESE WAFANIKIWA KUFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA KUENDELEA KWA BUNGE MAALUMU LA KATIBA

Wananchi wa Manzese ambao ni wanachama wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA  wamefanya maandamano ya kuendelea kupinga kile wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge maalum la katiba ikiwa ni mwendelezo wa kutimiza tamko la mkutano mkuu la chama hicho la kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo
KARENY. Powered by Blogger.