Home » SIASA
» CHAMA CHA WANANCHI CUF KIMEFANYA MKUTANO WA KUPINGA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
CHAMA CHA WANANCHI CUF KIMEFANYA MKUTANO WA KUPINGA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
CHAMA CHA CUF CHAFANYA MKUTANO MKUBWA ZANZIBAR, CHAIPINGA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
Chama cha Wananchi CUF jana kimefanya mkutano
mkubwa wa hadhara huko Zanzibar kuipinga katiba inayopendekezwa ya
Tanzania iliyopitishwa na Bunge Maalum.
Huku Wazanzibari wakiwa
wamegawanyika, Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF, Maalim Seif
Shariff Hamad, amesema rasimu hiyo itaangushwa Zanzibar kama itapigiwa
kura ya maoni na wananchi. Msimamo huo unaonyesha ugumu uliopo
katika kukamilisha katiba mpya ya Tanzania ambayo tayari imezongwa na
utata wa baadhi ya vyama vya upinzania kuisusia. Mwandishi wa BBC Hassan Mhelela anasimulia kutoka Zanzibar. bonyeza sauti hiyo hapo chini.
0 Response to "CHAMA CHA WANANCHI CUF KIMEFANYA MKUTANO WA KUPINGA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA"
Post a Comment