Habari za hivi Punde

UZINDUZI WA CHANJO MKOANI SHINYANGA-KIJIJI CHA LYABUKANDE WAZAZI WAJITOKEZA KUPELEKA WATOTO WAO

Mtoa huduma ya Chanjo  Tabu Willium  katika kituo cha shule ya msingi Lyabukande mkoani Shinyanga ambapo ndipo chanjo kimkoa ilipozinduliwa huku wazazi wakijitokeza  kwa wingi kuwapeleka watoto wao.


Zoezi la chanjo likiendelea.


Watoto wakipati wa chanjo mbalimbali  katika kijiji cha Lyabukande.


Mzazi akijitokeza kuwapeleka watoto wake  kwenye chanjo.


Mgnga mkuu wa mkoa wa Shinyanga Ntuli Kapologwe  akielezea kabla ya zoezi la uzinduzi wa chanjo mbalimbali kufanyika ambapo kwa mkoa wa Shinyanga walengwa ni watoto kuanzia miezi sita mpaka  chini ya miaka 15 ikiwa lengo ni kuwafikia watoto  737,000 kupata chanjo hiyo aliwataka wazazi kujitokeza ikiwa chanjo za Rubella na Surua  ikiwemo vitamini A zitatolewa ili kuzuia magonjwa ya Surua,magonjwa ya moyo,Minyoo kwa watoto hao.
KARENY. Powered by Blogger.