Habari za hivi Punde

AJINYONGA BAADA YA KUPATA MAJIBU YA KUATHIRIKA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI -MAJENGO SHINYANGA


Marehemu Issa   Ramadhani  (36)  mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu la kujinyonga  chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa  kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ameathirika na maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani  alimtuma mkewe kwenda kwa wazazi wake  huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa  NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi  ikiwa kitandani

Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga .


Mwili wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu na jamaa kufanya taratibu za mazishi.
KARENY. Powered by Blogger.