Habari za hivi Punde

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE CHINI YA ULINZI KWA MBINU YA KULIPUA MBWENI

 Wanafunzi hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi
.
 Bweni linalodaiwa kuchomwa na wanafunzi hao.
 Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe, Fulgence Ngonyani  
(wa pili kushoto) akionyeshwa jinsi  bweni  lilivyoteketezwa kwa  moto huku akiwa na askari  wake. 
Wanafunzi hao wakiingizwa katika gari la polisi.
KARENY. Powered by Blogger.