Habari za hivi Punde

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA SHINYANGA KIKIPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA HICHO.


Katibu wa CCM katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga vijijini   akijitambulisha kwa mara ya kwanza  kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya hiyo mara baada ya kuwa amehamia akitokea mkoani Kagera.


Katibu wa CCM  mkoa wa Shinyanga Adam Ngalawa  akimpa mkono mzee Masale Sengerema wakati alipoteuliwa na mwenyekiti wa wilaya ya Shinyanga  Mwenzetu Mgeja  kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya  CCM wilaya.Mkuu wa wilaya  ya Shinyanga Annarose Nyamubi  akisoma taarifa ya utekelezaji  ya ilani ya chama hicho mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Shinyanga vijijini.

KARENY. Powered by Blogger.