Habari za hivi Punde

ASKOFU EMANULE MAKALA AKIWEKA JIWE NA MSINGI BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI MWADUI .


Askofu  Emanual  Makalla wa kanisa  kiinjili kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya kusi
 ni mashariki ya ziwa victoria akiweka jiwe la  msingi katika jengo la bweni la wavulana  shule ya sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

Askofu  Makalla akiendelea na ufunguzi.


Kibao kinachoonyesha ufunguzi.

Mchungaji  Yohana Nzelu akielekea katika jengo la ufunguzi ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo aliyeshika bibilia na kuvaa joho akiwa ameambatana na waumini pamoja na wanafunzi wa shule hiyo.

KARENY. Powered by Blogger.