Habari za hivi Punde

UKAWA WAONGEA ,CUF WAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA.


Chief Rutarose Yemba  (CUF)  ambaye ni mwenyekiti wa wilaya  Shinyanga mjini ,mjumbe wa baraza kuu la uongozi kwa chama hicho akiwa jukwaani katika viwanja vya Masekelo manispaa ya Shinyanga ambapo akiwahutubia wananchi  kutokubali  kuuza shahada zao za upigaji kura na kujitokeza kwa wingi,huku akiwataka wananchi kuacha kutapeliwa kufanya uchaguzi ulio sahihi.


YEMBA; akiwa katika jukwaa baada ya kuteuliwa katika umoja wa  katiba kwa vyama vya upinzani ukawa ambapo alihutubia wakazi wa manispaa ya Shinyanga.


Yemba akiendelea kuongea

KARENY. Powered by Blogger.