Habari za hivi Punde

MATUKIO YA PICHA MBALIMBALI MKOANI TANGA YALIYOFANYWA NA BAADHI YA VIONGOZI.

Pichani aliyetangulia ambae amevaa koti mwanaume ni afisa mifugo wa korogwe mji,Juma Kimosa akimuonguza waziri,Hawa Ghasia kukagua ujenzi wa mnada mpya mgombezi katika ziara yake ya kukagua miradi.
 

Baadhi ya wafanyakazi wa shirika la nyumba mkoani Tanga wakiwa nje ya ofisi tayari kwa  kumpokea mgeni 
KARENY. Powered by Blogger.