Habari za hivi Punde

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI MKOANI TANGA.

Picha mkono wa kushoto ni  mjumbe wa CCM halmashauri kuu taifa kutoka  jimbo la tanga Kassim Kisauji akimvalisha sare ya CCM diwani wa CUF,Mambeyakushoto  juzi mara baada ya kutangaza nia yake ya kuhamia chama tawala.
Aliyesimama mkono wa kulia ni naibu ke twaziri Simbachawene akihutubia mkutano wa wanakijiji cha kwangena mija ya ziara zaanga.
Picha mkono wa kushoto anayeongea kwa ishara ni naibu waziri akimshauri mkuu wa wilaya ya mkinga Mboni Mgaza kuanza mchakato wa kuzinunua nyumba 40 za shirika la nyumba.


KARENY. Powered by Blogger.