Wajumbe
wa kamati ya utekelezaji ya UWT taifa wakiwa katika ukumbi wa Bukwimba
hoteli mji mdogo wa Maganzo wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga muda
mfupi baada ya kupokelewa wakitokea mkoa jirani wa Simiyu.
|
Katibu
mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT Amina Makilagi akizungumza na
wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga wakati wa ziara yake ya siku
tatu mkoani humo kwa lengo la kutoa shukrani kwa wananchi kwa kuendelea
kukipa ridhaa chama cha mapinduzi kutawala na kujionea kero
zinazowakabili wananchi na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ,ambapo
alitumia fursa hiyo kuwaonya wazazi na walezi kuacha tabia ya kuwaoza
watoto wao katika umri mdogo kwani huo ni ukatili wa kijinsia na
kuwanyima haki yao ya msingi ya kupata elimu. Pia alisema bado mikoa ya
kanda ya ziwa inaendeleza vitendo vya ukatii kwa kuwauwa vikongwe
wasiokua na hatia kutokana na imani za kishirikina na kuwataka kuachana
na imani hizo ambazo zinarudisha nyuma maendeleo. |
|
Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Segese wilaya ya Kahama. |
|
0 Response to "UWT TAIFA IMEKUJA NA KAULI MBIU YA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE,WATOTO PIA WATAKA USAWA KATIKA KUWANIA MADARAKA."
Post a Comment