Habari za hivi Punde

AJALI YA LORI JIJINI DAR-ES -SALAAM KIMARA MWISHO "FOLENI SASA";


Photo: HATARI: Lori la Mafuta laanguka Kimara Mwisho na Kuziba njia na kusababisha adha kwa watumiaji wa barabara!
- Wengine waiona ajali hii kama 'neema' na kuanza kuchangamkia mafuta yaliyomwagika je nini maoni yako kwa tukio kama hili unavyo liona kwenye picha comment yako itasomwa live kwenye kipindi              #wakali_wa_midia
 Lori la mafuta  limeanguka kimara mwisho jijini Dar-es  salaamu hali ambayo imefanya kuziba  njia na kusababisha foleni kubwa,ikiwa baadhi ya wananchi wakitumia mwanya huo kujipatia kipato na kufanya uhalifu hivyo  ni jukumu la ulinzi shirikishi kwenye maeneo hayo  kuchukua hatua za haraka na kuthibiti   uhalifu,ambapo imeonekana kuwa  kama  desturi ya  baadhi ya wananchi  kukusanyika pasipo sababu sio  dar pekee hata  maeneo mengine hali kama hiyo hujitokeza na ambapo ni hatari kwa mtazamo huenda kitu kingine cha kulipuka kikitokea wanaweza kupoteza maisha idadi kubwa.
KARENY. Powered by Blogger.