Habari za hivi Punde

MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA WATAKA KERO ZA WANANCHI ZITATULIWE.

 Diwani wa kata ya Mwanzange(CUF),Rashid Jumbe akitoa ushauri juu ya kituo cha Tanga televisheni.ga,Johnson Mwigune akijibu malalamiko mbalimbali yaliyoelekezwa kwenye shirika hilo.
Pichani aliyesisimama  ni meneja ufundi Tanga (UWASA) Eng.Farles Aran akijibu maswali ya madiwani yaliyoelekezwa kwenye mamlaka mara baada ya kukaribishwa kwenye kikao maalum.
Kati kati ambaye ameshika kipaza sauti wa pili mkono wa kulia ni meya wa halmashauri ya jiji la Tanga,Omari Guledi akitoa ufafanuzi kwenye kikao maalum cha madiwani,mwanamke aliyevaa nguo za kitenge kulia kwake ni mkurugenzi,kushoto kwake ni naibu meya,akifuatiwa na mbunge wa jimbo hilo kupitia (CCM) na mbunge viti maalum (CUF) Amina Mwidau ambaye amevaa tambaa cha piki.
Wataalamu wakisikiliza kwa umakini taarifa zinazotolewa na madiwani ikiwemo changamoto zinazokikumba kituo cha  Tanga Televisheni.
Baadhi ya wataalam wa halmashauri ya jiji la Tanga wakiwa kwenye kikao maalum wakiwasikiliza madiwani wao.
Diwani wa kata ya Mwanzange(CUF),Rashid Jumbe akitoa ushauri juu ya kituo cha Tanga televisheni.
Wataalamu wakisikiliza hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na madiwani wa halmashauri ya jiji la Tanga.

0 Response to "MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA WATAKA KERO ZA WANANCHI ZITATULIWE."

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.