Habari za hivi Punde

MWANAFUNZI WA DARASA LA TATU,ABAKWA,ATOBOLEWA MACHO NA KUUWAWA.

MWANAFUNZI wa darasa la tatu  katika shule ya msingi Negezi iliyopo kata ya Ndala aliyefahamika kwa jina la Happy Kashidye (9), Mkazi wa Kata hiyo Manispaa ya Shinyanga siku ya jumapili  tarehe 24 ,aliuawa na watu wasio julikana  kisha  kumfanyia kitendo cha kumbaka na  kumtoboa Macho.
Licha ya kata hiyo, pia wimbi la kuwabaka watoto na kuwatoboa macho linaonekana kuendelea manispaa ya Shinyanga ikiwa baadhi ya wananchi  kama wanaovyooneka kwenye picha kuonesha kukerwa na kitendo hicho  huku wakiitaka serikali kuliangalia suala hilo kwa ulinzi mkubwa .
KARENY. Powered by Blogger.