Habari za hivi Punde

WANAJESHI WAAHIDI KUWEKA ULINZI KITUO CHA KULELEA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI.

Wanajeshi  wa kikosi cha 516 kambi ya kizumbi wakifanya usafi wa mazingira katika kituo cha Buhangija kinacholea watoto wasioona,walemavu wa viungo,wasiosikia na Albino.
Sehemu ya misaada iliyotolewa na kikosi cha 516 kambi ya Kizumbi.
Watoto wenye ulemavu wa ngozi Albino wakiwa katika eneo la kituo chao wanapolelewa.
Misaada iliyotolewa na kikosi hicho ni pamoja na kilo 50 za sukari,mafuta ya kupaka cartoni mbili,ndoo mbili za mafuta ya kupikia,kilo 25 za unga wa sembe ,majani ya chai,chumvi,sabuni za kufulia pamoja na mbuzi wawili.
Watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija wakiwa na wanajeshi kikosi cha 516 kambi ya Kizumbi.

                                     


KARENY. Powered by Blogger.