Basi
la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili T 273 ACX llililokuwa
iliktokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa
limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani
Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65
kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita
mchana
Pichani
juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko lilifika eneo hilo na
kuwachukuwa waliojeruhiwa na kuwapeleka katika hospitali ya
wilaya kwa ajili ya matibabu.
|
Taswira ya Basi hilo la Ruksa likiwa eneo la Ajali ambapo mashuhuda wanasema chanzo cha ajali kilisababishwa na mwendo kasi.
|
Pichani ni Baadhi ya Majeruhi wa ajali hiyo wakiwa wodini katika hospitali ya wilaya ya Kakonko kwa ajili ya matibabu.
|
0 Response to "AJALI NYINGINE YA BASI LA KAMPUNI YA RUKSA LAUA WAWILI WAKATI LIKITOKEA MKAONI KIGOMA"
Post a Comment