Habari za hivi Punde

AJALI YA LORI MBEZI -DAR.ES-SALAAM KUMKANYAGA MWENDA KWA MIGUU.

AJALI YA GARI YAUA MBEZI JIJINI DAR

Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.
Msamalia mwema akiufunika mwili wa mwanamke huyo.
Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWANAMKE  mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY leo katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.
(Habari/Picha: Global

0 Response to "AJALI YA LORI MBEZI -DAR.ES-SALAAM KUMKANYAGA MWENDA KWA MIGUU."

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.