Habari za hivi Punde

BASI LA KAMPUNI YA SUPER FEO LIMEPATA AJALI WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA -MAKAMBAKO SONGEA

Ajali nyingine imetokea mkoani Songea huku watu wawili wakifariki dunia.



Gari lililopata ajali ni mali ya kampuni ya Super Feo aina ya Sosa inayofanya safari zake toka Songea kwenda Makambako na kutokana na chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi baada ya kuacha njia na kugonga mti na kuung'oa.

 Mmoja ya majeluhi



Waliolala ni baadhi ya waliokuwa kati ya wasafiri ambao inasadikiwa kupoteza maisha katika ajali 


 Basi lililopata ajali
 Mizigo ya abilia
 Gali lililopata ajali

PICHA ZOTE KWA HISANI YA  DEMASHO BLOG

0 Response to "BASI LA KAMPUNI YA SUPER FEO LIMEPATA AJALI WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA -MAKAMBAKO SONGEA"

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.