Habari za hivi Punde

HII SIYO ADHABU. NI UTARATIBU ULIOWEKWA NA SHULE WANAFUNZI WAKOSA MASOMO BRN IKO WAPI?


Kazi ya kufyatua matofali inaendelea ambapo kwa shule nzima uanzia kidato cha kwanza wanatakiwa kufyatua matofali 20,000 ,ambayo watayagawa kwa idadi kwa kila kidato ili kufikia idadi hiyo.
Mkuu wa shule msaidizi Mwl. Emmanuel  Macha ambaye amevaa Tisheti nyekundu akisimamia zoezi hilo   ,ambapo alisema  kazi hiyo ni utekelezaji wa agizo lililotolewa na halmashauri hiyo kwa kuandikiwa barua ikiwataka kuanza ufyatuaji wa matofali ambayo yanatarajiwa kutumika  kujenga jengo la maabara ya shule hiyo.
KARENY. Powered by Blogger.