Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014
wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo
mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo
hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani
Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku's Bistro wakati warembo
hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.
warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.
Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan Rico (kulia) akitoa
maelekezo baada ya kufika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimajaro.
Warembo wakipanda kuelekea geti kuu la kupandia Mlima Kilimanjaro
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro, Erastus
Lufungulo akitoa maelezo ya mlima huo kwa warembo wa Miss Tanzania
0 Response to "WANAOWANIA TAJI LA MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA MLIMA KILIMANJARO."
Post a Comment