Habari za hivi Punde

JUMBA LA BIG-BROTHER LATEKETEA KWA MOTO

http://4.bp.blogspot.com/-wj--P5yMih4/VAYTBcL_TAI/AAAAAAAGb-E/H98bpqugkqs/s1600/1157399384925_6036840515728%2B(1).jpg 


Moto mkubwa umeikumba M-Net’s Big Brother Africa Hotshots house katika Studio ya Sasani na kusababishwa kusitishwa uzinduzi wa msimu wa 9 wa Big Bother ambao ulibidi uanze tarehe 7 September siku ya Jumapili. Hakuna mtu aliyepata madhara japokua chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na uchunguzi unaendelea.

Kwa sasa kampuni ya Endemol inayotengeneza kipindi hiki inatafuta jumba jingine ambalo watakaa housemates wa msimu mpya japokua wanasema linawaingizia gharama kubwa kimiundombinu na kufunga mitambo ya Camera.
KARENY. Powered by Blogger.