Habari za hivi Punde

ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA TANGA, WANANCHI WATAKA KERO ZITATULIWE.


Mkono wa kulia ni mwananchi wa kijiji cha kichangani akitoa kero mbalimbali  kwa mbunge  wa jimbo la Tanga  Omary Nundu. 
Mkono wa kulia ni afisa mtendaji wa maweni akisoma taarifa ya kata ya mweni kwa mbunge Nundu akiwa na viongozi wengine wa kata hiyo ya.
Viongozi wakisikiliza taarifa ya kata ya maweni.
Ziara ya mbunge wa jimbo la tanga,Omari Nundu katika moja ya ziara zake kata maweni.
KARENY. Powered by Blogger.